Mnatuibia kwa visingizio vya mfumuko wa bei ili mpate hela ya kupanua majengo na kujitajirisha zaidi.Mnalaumu upandaji wa ada huku mkisahau mfumuko wa bei!
Ukipiga mahesabu kuanzia mwaka huu mwanzoni hadi sasa vitu vilivyopanda bei utawaelewa wenye shule....shule nyingi (kama sio zote) za binafsi zimepandisha ada kuanzia mwakani (ambazo hazijapandisha ni zile za kulipa kwa US$).
Mnatuibia kwa visingizio vya mfumuko wa bei ili mpate hela ya kupanua majengo na kujitajirisha zaidi.
Shida ni upandaji huu wa nguvu usio na udhibiti wowote na hauwezi kuwa justified. Baobab wamepandisha kwa zaidi ya laki nane kwa per head. Serikali ya akina Mulugo haina la kufanya.Mkuu, thats under the belt....mimi sina shule wala sina masilahi yoyote kwenye shule yoyote, isipokua kwa elimu ya watoto wangu!
BTW: Hata mimi nina watoto wako shuleni, na ada imepanda! Naelewa vizuri sana hiyo pinch ya kupanda ada...japo sio ada tu iliyopanda, ni kila kitu (labda isipokua vipato vyetu)
Shida ni upandaji huu wa nguvu usio na udhibiti wowote na hauwezi kuwa justified. Baobab wamepandisha kwa zaidi ya laki nane kwa per head. Serikali ya akina Mulugo haina la kufanya.
Ni ukweli kwamba shule (na ada zake) zina usimamizi mdogo sana wa serikali (nadhan ada hazidhibitiwi kabisa).
Ninachotaka kuweka sawa hapo ni ongezeko! Kama mwaka huu unaoisha mlilipa na mkaridhika, ukiangalia mfumuko wa bei kuongeza 30% ni halali!
Ukiongelea ongezeko peke yake haitoshi, tunogelee kama hiyo milion 2.6 ya mwaka huu nayo ni halali!
Hahaaa...kila nikiona invoice ya shule presha inapanda.....Tangu hivi vibinti vilipojiunga na hizi shule, Christmas siku hizi wala hata siikumbukagi. Damn!
Mi wanangu siwezi wapeleka kwenye mishule ya gharama kiasi hicho wakati kuna shule
za serikali mtoto akiwa serious anachomoka na matokeo mazuri tu,mi sijawahi kusoma shule ya private
hata moja,kuanzia nursery mpaka chuo na nimefaulu vizuri tu with flying colours.
Wazazi msiadaike na hizo private school,siku hizi watu wanafanya business,kama mtoto ana akili
ana akili tu
Hata hiyo shs 2,600,000.00 haikuwa halali. Na watu wasije wakadhani kuwa kila anaempeleka mwanae kwenye shule hizi anazo pesa nyingi. Ni mikopo na kusaidiana kama wazazi na kujinyima kwingi hadi mtoto anasoma shule kama hizi. Serikali isingetutupa kwa kiwango hiki huku inadhibiti mambo ya kijinga kama vocha za simu! Mfumuko wa bei upo lakini sio kwa kiwango hiki.
Ni ukweli kwamba shule (na ada zake) zina usimamizi mdogo sana wa serikali (nadhan ada hazidhibitiwi kabisa).
Ninachotaka kuweka sawa hapo ni ongezeko! Kama mwaka huu unaoisha mlilipa na mkaridhika, ukiangalia mfumuko wa bei kuongeza 30% ni halali!
Ukiongelea ongezeko peke yake haitoshi, tunogelee kama hiyo milion 2.6 ya mwaka huu nayo ni halali!
Hv zile video zina uhusiano na hiyo shule kweli!?Nimekuwa nikipiga kelele humu JF serikali ianzishe kitu kinachofanana na EWURA kwenye maji na nishati kwa masuala ya ELIMU lakini serikali imekaa kimya kwa kuwa miradi hii ya shule binafsi ni ya kwao. Sekondari ya Baobab iliyoko nje kidogo ya Jiji la Dar, barabara ya Bagamoyo, imepandisha KARO kwa zaidi ya 30% kutoka shs 2,600,000.00 tulizolipa mwaka huu hadi shs 3,375,000.00 kuanzia January mwakani.
Wamefanya hivo bila kutujulisha wazazi tujiandae kwa badiliko hili na baadhi yetu tuna watoto wanaingia kidato cha nne mwakani hivyo ni vigumu sana kuwahamisha watoto hawa. Elimu sasa imekuwa ni BIASHARA kubwa. Elimu sasa itabaki kwa WATANZANIA wachache!
Kibaya zaidi wameagiza karo hii mpya ilipwe kwa awamu mbili tu. January tulipe milioni mbili( 2,000,000.00) na June tulipe shs 1,375,000.00. Tunaiomba serikali sikivu ya JK iingilie kati suala hili. Wakati huohuo nawaomba wazazi/walezi wenzangu tukutane haraka ili tulijadili ongezeko hili ambalo ni wizi wa mchana.
Mwaka huu waongeze tena, vipaji vya wale mabinti sio michezo.Nimekuwa nikipiga kelele humu JF serikali ianzishe kitu kinachofanana na EWURA kwenye maji na nishati kwa masuala ya ELIMU lakini serikali imekaa kimya kwa kuwa miradi hii ya shule binafsi ni ya kwao. Sekondari ya Baobab iliyoko nje kidogo ya Jiji la Dar, barabara ya Bagamoyo, imepandisha KARO kwa zaidi ya 30% kutoka shs 2,600,000.00 tulizolipa mwaka huu hadi shs 3,375,000.00 kuanzia January mwakani.