Karoti, maji, "majani", dawa kiboko ya macho

Karoti, maji, "majani", dawa kiboko ya macho

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
627
Reaction score
181
Kwa wanaopenda tiba natural (asili) kwa macho yanayouma na kutoa machozi tumieni karoti kila siku (japo mzizi mmoja), kunywa maji ya kutosha na mboga za majani (zisiive sana). Macho yako yatarudia uimara madhubuti na hutahitaji kumeza vidonge tena. Tiba hii nimetumia mimi mwenyewe na imenifaa sana. Jaribu tiba asili ya chakula kabla ya kukimbilia dawa kali.

People may amass a lot of wealth through corruption; but that does not mean they would be the happiest persons in the world.:wof:
 
Back
Top Bottom