Karugendo aonya: Acheni kumchafua Bashiru


 
Fr Karugendo, baba tupe mrejesho wa uzoefu wa maisha,, kuishi Parokiani kama Paroko na uraiani ukiwa baba wa familia(wewe sio mlei)
Masharti ya kubakia kwenye utumishi wa Mungu yalimshinda kwa mambo kama haya ya kutetea waharifu
 
Naiona vita ya umakamu ikichukua next step full kuchafuana...
Bashiru hawezi kuwa fisadi na kamwe hatowahi kuwa hivyo....watu wenye staili na mbinu za kuchafua wenzao wanajulikana toka 2005....
They are back with a full force...
 
Unadhani mama angeagiza fasta uchunguzi kufanywa pale BOT bila kuona moshi mweusi?
 
Mahakamani kufanya nini huyo ni kutengua ukatibu mkuu kiongozi arudi kufundisha tu
 

 
Hilo liko wazi kuna watu wanaamini Bashiru akiendelea kuwa kwenye utawala huu mambo yao hayataenda...so wanamchafua makusudi, usafi wa Bashiru watu hawapendi
 
Mama amedai matumizi ya serikali,January to March,2021. Kama mko safi, kwa nini mnakanyagana... Lissu alinyimwa fedha matibabu kwa sababu hakufuata utaratibu... Mama naye anadai utaratibu....hatutaki kuona malipo ya "masangoma"
Safari hii imeanza vizuri sana
 
Mimi pia nawaombea hivyo.
 
Hapa ndio tunapata kujua umuhimu wa katiba ya wananchi...

Haya yote yasingetokea kama yule jamaa wa mhimili uliojichimbia angekua na mahali pa kuwajibishwa kikatiba na sio kila kitu kujiamulia yeye

Kama katiba ina ombwe hakuna mahali pa nani amuhoji nani bali kuna wanaohojiwa na kuwajibishwa na kuna wengine hawagusiki (hawahojiwi wala kuhojiwa)

Na ndio hapa tutakuja kuona umuhimu wa katiba maana kila anayetoka akija anavumbua uchafu wa aliyepita je kulikua na nini hawa hawakuchukuliwa hatua wakiwa bado vitini ! Jibu ni katiba iliwapa uhuru sana!
 
Kila mtu abebe mavuno yake, watu huku twala ugali na chumvi wengine wakwapua mapesa, Kama kweli abebe mzigo wake hakuna utetezi hapa, serikali sio nyepesi Kama tujitoavu akili, binfsi mahela mengi Kama y'all wapeleka wapi Kama ni kweli, ujinga mtupu
 
Hana, analo. (Kiswahili cha pemba hicho) zaidi ya kumtetea mhaya mwenzie. Alifukuzwa na kanisa kwa aina ya mafundisho yake. Atulie mama afanye kazi. Mbivu na mbichi zitajulikana tu.
 
Huyu Karugendo na Bashiru wana jjua sio raia. Sasa wasubiri tuweke taarifa zao mezani. Karugendo kama upadri ukimshinda akatimuliwa unategemea kichwa chake kiko sawa?
 
Anaonewa au haonewi, muda peke yake ndiyo msema kweli:

Hizi tuhuma dhidi ya Dr. Bashiru kama zina chembe yoyote ile ya ukweli, basi lazima ashitakiwe kwa kosa la Kupanga na kuratibu Uhaini dhidi ya Jamhuri (Conspiracy to Commit Treason) na uhujumu uchumi (Economic Sabotage). Kama tuhuma hizi hazina ukweli, basi Serikali lazima itoke kukanusha, jambo ambalo mpaka sasa haijalifanya, kitu ambacho kinaendelea kuzipa hizi habari uhalali (Validity) mkubwa.
 
Huyu Pudure vipi.....unamyamini binadamu was miguu 2!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…