Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
PichaMliopo Karume mtujuzee zaidi, nyuma ya Sheli kuna ghorofa floor ya pili inaungua.
Mtatujuza, maana nipo highway nawahi Muhimbili.
Picha za muhimbili?Picha
KarumePicha za muhimbili?
Nchi yenyewe imekua Moto unadhani magorofa yataacha kuwaka...?Mambo ya moto yamekua mengi