'Karume Hakuyakimbia Mapinduzi ya ZnZ'- Karume Jnr

'Karume Hakuyakimbia Mapinduzi ya ZnZ'- Karume Jnr

Mr. Zero, nilitegemea Wanzanzibari wenye data za uhakika zaidi kuhusu Karume na Mapinduzi, wangekuja. Bahati mbaya issues za Zanzibar huwa wenzetu wanakuwa tuu emotional, ila sikutegemea wafuasi wa Osama, magaidi in the name of politics, ma extremits wa kiwango cha kushangilia ugaidi!.

TISS ingekuwa hata robo ya CIA na FBI, mbona Invicible angekuwa tajiri, maana jamaa wangeitumia JF kutrack down magaidi kabla hata hawajamature into suicide bombers. Idara yetu ndio hivyo tena, ndio maana nikamshauri mode aifungilie mbali hii thread isije tuponza bure!.

Wewe kweli unajiita Great Thinker, halafu unafikiria kama FBI au US wanapigana na magaidi?

Hakuna mtu anaitwa gaidi, US iko vitani na waislamu kama ilivyokuwa Soviet kipindi hicho ilipovamia Afghanistan.

Sasa na mie nishakuwa gaidi, kwa kuwa nimesema ukweli wa kupigania haki za wazanzibari.Na niitwe hivo hivo gaidi, lakini Zanzibar haitokubali Mapinduzi wala Serekali moja.

Kama Soviet ilianguka na kuparaganyika, jee muungano wa Tanzania.Ambao unawania nafasi ya umasikini duniani!

Naamini kabisa kabla sijafa, sherehe za Mapinduzi zitafutwa kuwa ni sherehe za kitaifa Zanzibar.Na naamini kabla sijafa, nitaweza kusafiria passport ya Zanzibar kuenda popote duniani na kusema mimi ni mzanzibari hadi passport yangu si ya kimasai! 😀
 
Unajua nimeifuatilia hii mada na maoni ya watu toka maoni ya kwanza,..nkawa nasema leo kweli JF naona Great Thinkers wako ndani ya nyumba manake mada zinachambuliwa na points zinaonekana..jinsi thread ilivokuwa inaendelea ndipo rangi halisi za baadhi ya watu zikazidi kuonekana..lool!Shetani kajifanya malaika lakini mwisho shetani uvumilivu umemshinda kaamua kujitangaza uhalisia wake. Mr.Froasty! Nimejifunza kitu kikubwa sana leo toka kwako. Hii itansaidia sana kuwatambua watu wa dizaini yako mapema, bila kujali wanaongea nini.
 
Unajua nimeifuatilia hii mada na maoni ya watu toka maoni ya kwanza,..nkawa nasema leo kweli JF naona Great Thinkers wako ndani ya nyumba manake mada zinachambuliwa na points zinaonekana..jinsi thread ilivokuwa inaendelea ndipo rangi halisi za baadhi ya watu zikazidi kuonekana..lool!Shetani kajifanya malaika lakini mwisho shetani uvumilivu umemshinda kaamua kujitangaza uhalisia wake. Mr.Froasty! Nimejifunza kitu kikubwa sana leo toka kwako. Hii itansaidia sana kuwatambua watu wa dizaini yako mapema, bila kujali wanaongea nini.

Hebu tupe na sie tusikie umejifunza nini?Hopefully, sio ugaidi.
 
Wewe kweli unajiita Great Thinker
Naamini kabisa kabla sijafa, sherehe za Mapinduzi zitafutwa kuwa ni sherehe za kitaifa Zanzibar.Na naamini kabla sijafa, nitaweza kusafiria passport ya Zanzibar kuenda popote duniani na kusema mimi ni mzanzibari hadi passport yangu si ya kimasai! 😀
.

Mr. Froasty, sio siri, nimeomba thead hii ifungwe kwa ajili yako. Yaani ulishereherekea mauaji ya Karume na vifo vya Nyerere na Kawawa?!.
Unamshangilia Osama?. Unaombea Zanzibar igeuke Torabora?.

In beween the line, wewe unaonekana uko tatari kuwa suicide bomber in the name of Islam.

Sasa japo mimi sio Sheikh Yahya, nakuhakikishia utakufa kabla sherehe za Mapinduzi hazijafutwa, na utaenda kaburini bila pasport ya Zanzibar, Zanzibar ipi hiyo unayoiulizia zaidi ya hii ambayo ni sehemu ya Tanzania?. Tena kwa hasira zako naomba wala usijisumbue kuomba pasport ya Tanzania ukatuletea kihoro na aibu kama ya Nigeria, bora jitulize huko huko ujifie bila aibu.

Angalizo: sio kuwa nakuombea kifo, bali ni uhakika utakufa tuu maana hata mimi pia nitakufa, na kila nafsi itaonja mauti.
 
.
Zanzibar ipi hiyo unayoiulizia zaidi ya hii ambayo ni sehemu ya Tanzania?.
.

Mzarau mwiba...sitorudia tena, lakini Tanzania hakuna kitu cha kujivunia kusema ati ni ngangari muungano hautovunjika.Ikiwa muungano wa Soviet ulivunjika, basi huu muungano wa kuli na mburumbatari Nyerere hautofika popote.

Jiulize mwenyewe ni mara ngapi kumeshatokea majaribio ya kuubadilisha au kujaribu kuuvunja?

Jee, zamani wazanzibari walikuwa wakijadili vipi muungano na sasa hivi wanajadili vipi?Halafu weka kwenye graph, then utaona wapi unaelekea...na utapata jibu, hatuko mbali.Na hii sio suprise, ni kitu kiko wazi kabisa.

Tena kwa hasira zako naomba wala usijisumbue kuomba pasport ya Tanzania ukatuletea kihoro na aibu kama ya Nigeria, bora jitulize huko huko ujifie bila aibu.
.

Mimi wala sina shida ya hizo passport za kimasai...na wala sijawahi kuulizwa natoka wapi nikasema mimi ni mtanzania.

Sasa wewe kama unaamini kwamba kila nafsi itaonja mauti, ikiwa hakuna hope kwa wazanzibari kuendelea kuishi kama watumwa wa Tanganyika.Kwanini wasitumie vita kama ya Osama?

Tanganyika mulivopigana vita vya Maji Maji ilikuwa vipi?Sio suicide?Acha kasumba kaka Pasco, vita ni vita tuu...na mtu anapozidiwa, hupigana kwa mtindo wowote ule.Mimi sio kama ni gaidi, lakini wala sifanyi dharau kwa wale vijana wa Palestina,Iraq, Afghanistan na Osama mwenyewe.

Marekani haina haki ya kuenda kuwapiga mabomu kwenye nchi zao, na nawaunga mkono wanyonge hao kama ni waislamu wenzangu wanaopigana vita vigumu.Lakini siwezi kuwaita ni magaidi!
 
Ikiwa muungano wa Soviet ulivunjika, basi huu muungano wa kuli na mburumbatari Nyerere hautofika popote.!
MrFroasty, Watanzania ni watu wa heshima. Hawa ni waasisi wa Muungano wetu na wamesha tangulia mbele ya haki, sio ustaarabu kuwabatiza majina ya ajabu ajabu kwa hasira/chuki zako za Muungano.
 
Sasa wewe kama unaamini kwamba kila nafsi itaonja mauti, ikiwa hakuna hope kwa wazanzibari kuendelea kuishi kama watumwa wa Tanganyika.Kwanini wasitumie vita kama ya Osama?

Acha kasumba kaka Pasco, vita ni vita tuu...na mtu anapozidiwa, hupigana kwa mtindo wowote ule kama ni gaidi wale vijana wa Palestina,Iraq, Afghanistan na Osama mwenyewe.
MrFroasty, hivi ni kweli Wanzanzibari wanaishi kama watumwa wa Tanganyika? Tanganyika gani tena hiyo? Nijuavyo mimi Tanganyika si ilikufa April 1964? ama unamaanisha ni watumwa wa Tanzania ambapo Zanzibar pia ni sehemu ya Tanzania?.
 
Marekani haina haki ya kuenda kuwapiga mabomu kwenye nchi zao, na nawaunga mkono wanyonge hao kama ni waislamu wenzangu wanaopigana vita vigumu.Lakini siwezi kuwaita ni magaidi!
Pamoja na tofauti zetu kwenye dhana ya ugaidi, kwa hili naungana na wewe, kuwa Marekani haina haki kuipiga mabomu nchi yoyote siyo ya Kiislamu tuu, hata ya Kikristu.

Saometimes, the deviding line btn gaidi na mfianchi ni so thin kama ilivyo kwa guerilla/waasi na wapigania uhuru, lakini Zanzibar bado hatujafika huko na wala hatutafika huko kwa sababu Zanzibar ni nchi ila haina dola, dola ni Tanzania, sidhani kama dola itaruhusu uhuru, amani na ustawi wake ufanyiwe mzaha na ma extrimist in the name of Islam.
 
Nimesoma kila post iliyoandikwa hapa maswali mawili yanahitaji kujibiwa kwanza:

a. Kama mapinduzi yasingetokea hali ya mahusiano kati ya watawala na watawaliwa yangekuwaje? Watu wangekuwa wameridhika na status quo?

b. Je Mapinduzi yalikuwa ni lazima?
 
MrFroasty, hivi ni kweli Wanzanzibari wanaishi kama watumwa wa Tanganyika? Tanganyika gani tena hiyo? Nijuavyo mimi Tanganyika si ilikufa April 1964? ama unamaanisha ni watumwa wa Tanzania ambapo Zanzibar pia ni sehemu ya Tanzania?.
Kwa mfumo wa sasa wa muungano, hakuna haki inayotendeka..so its pretty much like a slavery of some kind.Tanganyika has just extended its boarders and swallowed my precious islands!

Serekali ya Zanzibar na Rais wa Zanzibar hawana mamlaka yoyote.Wakati raisi ndio anaewakilisha Zanzibar katika muungano.Ikiwa kiongozi wa Zanzibar hana sauti yoyote kwenye muungano, manaake ni nini?

Tanganyika kila leo imekuwa ikileta ubabe ndani ya muungano, kisingizio ardhi yake ni kubwa na idadi ya watu ni kubwa.Hata kwenye familia hii haikubaliki.

Mkataba wa muungano unachezewa, ukiutazama licha ya makosa yake yote hauna sehemu ambayo inaonesha kama unatoa ruhusa ufanyiwe mabadiliko.Mkataba huo ni kichekesho kitupu, hakuna saini ya Karume wala chombo chochote cha Zanzibar kilichoupitisha.

Kwa ufupi, Tanzania haijakubalika visiwani hususan katika ngazi ya wananchi.Wakati wowote Zanzibar ikipata kiongozi anaehitajika na wananchi wake, huu muungano uchwara utakwenda The Hague.Kuna vijana wetu tayari wanafuatilia kesi hii, sema bado hakuna support ya Serekali ya Zanzibar.

Kukuonesha kama Zanzibar imekuwa sawa na mtumwa, utaona uchaguzi unaokuja.Tanganyika itamweka kiongozi asie na uwezo Zanzibar, huu unaita nini?Utumwa uko wa aina nyingi...


Nukuu:
By the way, probably you will never understands all those complains due to selfishness as expected.But there is a high demand for Heavy Union Referendum, especially Zanzibaris are really getting pissed by it every now and then.
While Tanganyika continue its colonial strategies against Zanzibaris, it wont come as a surprise when a normal Zanzibaris declare war of some kind...NOT A SURPRISE AT ALL!

**Keep in mind, Zanzibaris are very proud of their country different to Tanganyikans.I will never accept that I am a Tanzanian no matter what kind of change in the union.
 
Nimesoma kila post iliyoandikwa hapa maswali mawili yanahitaji kujibiwa kwanza:

a. Kama mapinduzi yasingetokea hali ya mahusiano kati ya watawala na watawaliwa yangekuwaje? Watu wangekuwa wameridhika na status quo?

Mie naamini kabisa kama uongozi uliopinduliwa ulikuwa ni uongozi uliopatikana kihalali kabisa.

b. Je Mapinduzi yalikuwa ni lazima?

Mapinduzi yepi?Kuna mapinduzi ya 1964 na 1972, be more specific.Mapinduzi hayana ulazima katika nchi yoyote ile, na Zanzibar ingelikuwa mbali sasa hivi kama yasingelitokea Mapinduzi.This is a fact!

Zanzibar itaanza tena safari ya kuenda mbele, mara tuu ikipata viongozi wazalendo na wenye busara kwa kukubali kama Mapinduzi yalikuwa ni makosa na sasa Zanzibar inahitajika kuyasahau na kuenda mbele.
 
Mkataba wa muungano unachezewa, ukiutazama licha ya makosa yake yote hauna sehemu ambayo inaonesha kama unatoa ruhusa ufanyiwe mabadiliko.Mkataba huo ni kichekesho kitupu, hakuna saini ya Karume wala chombo chochote cha Zanzibar kilichoupitisha.
.
Poleni kwa yote. By the way hakuna mkataba wa muungano, muungano sio mkataba ni makubaliano verbal kati ya Nyerere na Karume, 'Wewe Rais, mimi Makamo'.

Tena Wanzanzibari wote wanaomlaumu Nyerere watalaaniwa, ni Nyerere aliyeizua Zanzibar isimezwe, Karume alishakubali muungano wa nchi moja, sasa hizi Zanzibar ingekuwa kama wilaya tuu kama Nzega au Tandahimba, lazima mumshukuru Nyerere kwa hilo.

Zile Articles of Union ni MoU tuu tena zinamapungufu lukuki ndio maana zimefukiwa mahali never to be seen again. Naziunga mkono juhudi zozote za kutafuta haki ya Wanzanzibari kwa njia za amani zikiwemo hizo za UN.

Siungi mkono
 
.
Tena Wanzanzibari wote wanaomlaumu Nyerere watalaaniwa, ni Nyerere aliyeizua Zanzibar isimezwe, Karume alishakubali muungano wa nchi moja, sasa hizi Zanzibar ingekuwa kama wilaya tuu kama Nzega au Tandahimba, lazima mumshukuru Nyerere kwa hilo.

Kwa mtazamo ambao hauna utafiti wa kitaalamu, "Nyerere is a high profile suspect behind 1964 Revolution"!

Siamini kama Okello na watanganyika wengine walikuwa Rambo's, na kuangusha majeshi ya serekali yenye silaha kwa kutumia upanga.Hii theory haingii kwenye akili yangu, lakini muda umekuwa mrefu na historia imepanguswa kwa sabuni ushahidi wote umepotea.

Mapinduzi ya 1964, yanaonekana ni mpango ambao ulikuwa umetimia kabisa wa kupindua serekali.Sifikirii kama ulikuwa ni uhuni wa kigurupu cha wakulima na wakwezi kama tunavyoambiwa.Lazima Mapinduzi yaliungwa mkono na serekali au kiongozi jirani na Zanzibar.

Kutokana na kuwa Nyerere alijihusisha sana na Zanzibar kuliko Kenya, moja kwa moja anakuwa ni high profile suspect.

Kwanini alikataa serekali moja?Nyerere alikuwa smart na amakwenda darasa, aliona wazi kufanya hivyo kungelileta hisia za moja moja kwa wazanzibari kama sasa wamevamiwa.Kufanya hivo kungelizorotesha hata uchumi wa Tanganyika na kuanza vita na wazanzibari.Aliona ni bora iwe slow procedure, iwe inaendelea hatua baada ya hatua.Ushahidi ni sera ya CCM ya serekali 2 kuelekea moja, manaake baada ya miaka ndio atatimiza malengo yake!

Hapo alianza na article 11, na baadae zinaendelea kukua hadi sasa sijuwi ni ngapi approx.30...correct me cant figure that out!

Sasa hapo nimshukuru kwa lipi?
 
Wajameni, TBC leo imekirudia kile kipindi cha Mjane wa Karume, Bi Fatma Karume akieleza matukio ya Ijumaa ya Januari 11, 1964 yanayothibitisha Karume alikuwa wapi. Mwaka jana alisema kila kitu, mwaka huu kipindi wameedit ile sehemu, ila naikumbuka Vizuri, Bi. Fatma alisema kila kitu.
 
Biography

John Gideon Okello ([ame="http://en.wikipedia.org/wiki/1937"]1937[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Lango_District"]Lango District[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Uganda"]Uganda[/ame], – [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/1971"]1971?[/ame]) was an East-African revolutionary and the leader of the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Zanzibar_Revolution"]Zanzibar Revolution[/ame] in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/1964"]1964[/ame]. This revolution overthrew Sultan [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Jamshid_bin_Abdullah_of_Zanzibar"]Jamshid bin Abdullah[/ame] and led to the proclamation of [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Zanzibar"]Zanzibar[/ame] as a republic.
Youth

Little is know of Okello's youth although he was baptized at age two and given the baptismal name of [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Gideon"]Gideon[/ame]. He was orphaned at age eleven and grew up with other relatives. When he was fifteen, he left set out on his own and found work in several places within [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/East_Africa"]East Africa[/ame]. At various times, Okello as clerk, manservant, gardener, and in odd-jobs. He later went through training to become a bricklayer. He was arrested in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Nairobi"]Nairobi[/ame], ([ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Kenya"]Kenya[/ame]) for unclear reasons and was incarcerated for two years, during which he became interested in revolutionary ideas.
There is some speculations that, at some point, Okello had a residence in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cuba"]Cuba[/ame] and was taught communism by [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Fidel_Castro"]Fidel Castro[/ame].
Police officer on Pemba

In 1959 Okello left for the island of Pemba, where he tried to find work on one of the farms, but became a police officer instead. Okello joined the Afro-Shirazi Party of sheik [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Abeid_Karume"]Abeid Karume[/ame]. This party opposed the domineering position of the minority Arabs on the islands of [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Zanzibar"]Zanzibar[/ame] and Pemba.
Revolutionary

Okello left for Zanzibar in 1963, where he contacted the leaders of the Afro-Shirazi Youth League, the youth organisation of the Afro-Shirazi Party. The Youth League strived for a revolution in order to break the power of the Arabs. On Zanzibar, Okello was also a member of the Painters Union, being a house painter. In his free time he built up a small army of determined African nationalists. This army was required to hold themselves to the strict rules of Okello: sexual abstinence, no raw meat and no alcohol.
The highly religious Okello was convinced he had been given orders in his dreams by God to break the powerful position of the Arabs and to found the revolutionary state on Zanzibar and Pemba. On the night before the "revolution", Okello gave his men the order to kill all Arabs between 18 and 25 years of age, to spare pregnant and elderly women, and not to rape virgins.
Uprising

On January 12, 1964, with popular support from the island's oppressed native African majority, Okello and his men fought their way to the capital of Zanzibar, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Stone_Town"]Stone Town[/ame], where the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Sultan"]sultan[/ame] lived. Even though they were poorly armed, Okello and his men surprised the police force of Zanzibar and they took power.
During a speech on radio, Okello dubbed himself the "field marshal of Zanzibar and Pemba". He gave the sultan an order to kill his family and to kill himself afterwards; otherwise, Okello would do so himself. However, the sultan had already brought himself to safety later to be harboured in Britain. The prime minister and other ministers also managed to escape.
The coup led to the poorly-known massacre of between 5,000 and 20,000 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Arabs"]Arabs[/ame], whose families had been living in Zanzibar for centuries, between January 18 and 20. Footage of the massacre can be seen in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Gualtiero_Jacopetti"]Gualtiero Jacopetti's[/ame] film [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Africa_Addio"]Africa Addio[/ame], a 1966 exemplar of the Mondo film genre. [1]
Shoved to the side

Okello created a Revolutionary Council and named the leader of the Afro-Shirazi Party, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Abeid_Karume"]Abeid Karume[/ame], as president and leader of the (Arabic) Umma-(Massa) Party, sheik [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Abdulrahman_Muhammad_Babu"]Abdulrahman Muhammad Babu[/ame] as prime minister (later: vice-president). Both Karume and Babu had not been informed of the coup. Both residing in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tanganyika"]Tanganyika[/ame], but returned to Zanzibar, where they were welcomed by Okello. However, neither Karume or Babu wanted anything to do with him. Afterward, Okello appeared to be too unstable to play any role in government of the new country and was quietly sidelined from the political scene by Karume, who allowed him to retain his title of Field Marshal.[2][3]
By 3 February Zanzibar was finally returning to normality and Karume had been accepted, almost unquestionably, as its president.[4] Okello formed a paramilitary unit, known as the Freedom Military Force (FMF), from his own supporters which is known to have patrolled the streets and become involved with looting.[5][6] In addition Okello's violent rhetoric, his thick and dialectic English pronunciations and Acholi tribal English accent- typical of Acholi from Northern Uganda, and his Christian beliefs alienated many in the largely moderate, Zanzibari and Muslim ASP.[7] By March many of his FMF had been disarmed by Karume's supporters and an Umma Party militia.[7][6] Okello was denied access to the country when he tried to return from a trip to the mainland and deported to Tanganyika and then to [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Kenya"]Kenya[/ame] before returning, destitute, to his native Uganda.[7] He was officially removed from his post as Field Marshal on 11 March.[8]
The People's Liberation Army (PLA) was formed by the government in April and completed the disarmament of Okello's remaining FMF troops.[7] On 26 April Karume announced that he had negotiated to enter into a union with Tanganyika to form the new country of Tanzania.[9] Karume's reason for doing so may have been to prevent the radicals in the Umma Party from taking over the country or to reduce the possibility of increasing communist influence in East Africa.[10][9] Despite this, many of the Umma Party's socialist policies on health, education and social welfare were adopted by the government.[11]
Speculations concerning his death

Okello then stayed in Kenya, in Congo-Kinshasa and in Uganda. He was incarcerated multiple times and was last seen with the Ugandan president [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Idi_Amin"]Idi Amin[/ame] in 1971 and vanished afterwards. In the book "Revolution on Zanzibar", written by Don Petterson, it is more or less assumed that Idi Amin saw him as a threat (after Amin promoted himself Okello reportedly joked that "now Uganda has two field marshals"[[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Citation_needed"]citation needed[/ame]]) and had arranged his assassination. This remains speculative, however.
Cultural references to Okello

The black slave played by Edward Roland in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Werner_Herzog"]Werner Herzog[/ame]'s 1972 film Aguirre, the Wrath of God is named "Okello". In his commentary to the DVD version of the film, Herzog also says that the character of Aguirre himself was partly modelled on John Okello, with whom the director had been in contact (Okello had wanted Herzog to translate a book he had written). Herzog explains: "I chose the name Okello because I owe his craze, his hysteria, his atrocious fantasies quite a bit for this film".[12]


Source: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/John_Okello"]http://en.wikipedia.org/wiki/John_Okello[/ame]
 
Wajameni, TBC leo imekirudia kile kipindi cha Mjane wa Karume, Bi Fatma Karume akieleza matukio ya Ijumaa ya Januari 11, 1964 yanayothibitisha Karume alikuwa wapi. Mwaka jana alisema kila kitu, mwaka huu kipindi wameedit ile sehemu, ila naikumbuka Vizuri, Bi. Fatma alisema kila kitu.

Kwanini wana EDIT??? kuna vitu vingine wala havi make sense
 
FP
Hilo bandiko lako la J.Okello limekaa ovyo ovyo sana, mpaka linatia uvivu kulisoma! Jaribu kuediti ili lisomeke vema.
 
On January 12, 1964, with popular support from the island's oppressed native African majority, Okello and his men fought their way to the capital of Zanzibar,
Okello created a Revolutionary Council and named the leader of the Afro-Shirazi Party, Abeid Karume, as president and leader of the (Arabic) Umma-(Massa) Party, sheik Abdulrahman Muhammad Babu as prime minister (later: vice-president). Both Karume and Babu had not been informed of the coup. Both residing in Tanganyika, but returned to Zanzibar, where they were welcomed by Okello.
Source: http://en.wikipedia.org/wiki/John_Okello

Asante Fair Player, kwa vile vitabu vingi vimeandikwa na Wazungu, hata hawa watu wa wikipedia ndio wanavitumia kama source, wote ni waongo, mkweli ni Karume, baba alipigana kiume, hakuyakimbia mapinduzi yale, alikuwepo na Mkewe bi Fatma ni shahidi, ila mapema alfajiri ndio ilimbidi kuja bara kuwarejesha watoto shuleni Malawi baada ya likizo.
 
Back
Top Bottom