Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule Oluoch wa Gor sijamkubali naskia na yule wa Ivory coast nae si mzuri kiivyo. Ni bora wamrudishe kaseja sababu anaijua sana ligi yetu na ana uzoefu wa kutosha.
Ukiangalia uzoefu ndio umetuua msimu uliopita. Kwa Kazimoto Mgosi Kiiza n Kaseja ukichanganya na damu changa kina Banda Ajibu Ndemla Tshabalala mambo yatakuwa mazuri.
Mgosi
Kazimoto
Now Kaseja taratibu hata Boban atarudi
inaonekana wana msimbazi wengi hawakubakiani na Kaseja kurudi Simba kadhalika Boban
Kwa hiyo mkuu inamaana wote wanaotoka kule kgm wanafanana?Hata mimi simkubali Kaseja, yule anatabia za akina Zitto za Kinafiki. Boban kama mwalimu ni mwanasaikolojia sawa make hana maneno zaidi ya kazi. Mwalimu amfunde kupunguza hasira.
cc: Sembo na qote walio karibu na uongozi
Kwa hiyo mkuu inamaana wote wanaotoka kule kgm wanafanana?
Hata mimi simkubali Kaseja, yule anatabia za akina Zitto za Kinafiki. Boban kama mwalimu ni mwanasaikolojia sawa make hana maneno zaidi ya kazi. Mwalimu amfunde kupunguza hasira.
cc: Sembo na qote walio karibu na uongozi
Hapana bt angalia jinsi kaaseja alivyotoka Simba, mashabiki wa Simba hasa wa Dar walianza kumkataa mpaka uongozi ukamtosa.
Vile Kaseja huwa hawaivi na Ivo kumleta ndo yataanza ya kuwagawa wachezaji. Licha ya hivyo na yeye ana kaunafiki.
Wazee waishie kwa Boban JKJ hapana akasome ukocha tu
Yule Oluoch wa Gor sijamkubali naskia na yule wa Ivory coast nae si mzuri kiivyo. Ni bora wamrudishe kaseja sababu anaijua sana ligi yetu na ana uzoefu wa kutosha.
Ukiangalia uzoefu ndio umetuua msimu uliopita. Kwa Kazimoto Mgosi Kiiza n Kaseja ukichanganya na damu changa kina Banda Ajibu Ndemla Tshabalala mambo yatakuwa mazuri.
haya kipa hatuna lakini
Mgosi
Kazimoto
Now Kaseja taratibu hata Boban atarudi