Kaseja Anukia Msimbazi

Kaseja Anukia Msimbazi

azam atakaa kama alivyosimama
 
Kwanini asiende kutafuta timu south Africa kama bado ana kiwango?
 
Chanzo cha ndani kabisa kinasema baada ya kocha kutoridhika na makipa waliopo na zaidi sana baada ya Ivo kuumia uongozi unahaha kumrudisha kundini mlinda mlango Juma Kaseja

Nilikutana na Juma Taifa na akakataa kuzungumzia suala hilo

Kaseja lazima arudi Simba na Ivo lazima kwa njia yoyote ile akatwe. Friends of Simba wana deni kwa Kaseja ndiye waliokuwa wakimtumia kuihujumu Simba pindi wakitofautiana na uongozi uliokuwa madarakani. Kumbuka wakati wa Wambura na wakati wa Dalali mwanzoni Kaseja aligoma wakati anahitajika kambini na mara zote hizi alifungiwa na uongozi. Sasa leo hao Friends ndio wanaongoza Simba halafu eti Kaseja abaki kijiweni hiyo haiwezekani. Na kwa sababu akiwepo Ivo bila shaka yoyote lazima kocha atamchagua yeye na sio Kaseja njia iliyopo ni kumkata Ivo kwa sababu yoyote. Kaseja ni gharasa lakini kwa Friends ni mali tena utasikia amesajiliwa kwa fedha nyingi wakati hana thamani yoyote
 
Mgosi
Kazimoto

Now Kaseja taratibu hata Boban atarudi

Na ili kuhakisha Kaseja anakuwepo Simba msimu ujao ataletwa dakika za mwisho ili kocha asipate nafasi ya kumjaribu ili amkubali au amkatae. Ataaminishwa ni kipa mzuri japo misimu miwili hajadaka mechi ya ligi na hakuwa majeruhi bali kiwango
 
Chanzo cha ndani kabisa kinasema baada ya kocha kutoridhika na makipa waliopo na zaidi sana baada ya Ivo kuumia uongozi unahaha kumrudisha kundini mlinda mlango Juma Kaseja

Nilikutana na Juma Taifa na akakataa kuzungumzia suala hilo

Kaseja go east go coast msimbazi is best
 
huenda wanasubiri lalasalama ili washabikiwasiandamane
Kaseja lazima arudi Simba na Ivo lazima kwa njia yoyote ile akatwe. Friends of Simba wana deni kwa Kaseja ndiye waliokuwa wakimtumia kuihujumu Simba pindi wakitofautiana na uongozi uliokuwa madarakani. Kumbuka wakati wa Wambura na wakati wa Dalali mwanzoni Kaseja aligoma wakati anahitajika kambini na mara zote hizi alifungiwa na uongozi. Sasa leo hao Friends ndio wanaongoza Simba halafu eti Kaseja abaki kijiweni hiyo haiwezekani. Na kwa sababu akiwepo Ivo bila shaka yoyote lazima kocha atamchagua yeye na sio Kaseja njia iliyopo ni kumkata Ivo kwa sababu yoyote. Kaseja ni gharasa lakini kwa Friends ni mali tena utasikia amesajiliwa kwa fedha nyingi wakati hana thamani yoyote
 
Na ili kuhakisha Kaseja anakuwepo Simba msimu ujao ataletwa dakika za mwisho ili kocha asipate nafasi ya kumjaribu ili amkubali au amkatae. Ataaminishwa ni kipa mzuri japo misimu miwili hajadaka mechi ya ligi na hakuwa majeruhi bali kiwango
naanza kuhisi haya unenayo
 
atasaidia nafasi ya ukocha wa makipa pia
 
ila huenda pia ikawa ngumu sababu bado ana kesi na Yanga
 
Back
Top Bottom