Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanzo cha ndani kabisa kinasema baada ya kocha kutoridhika na makipa waliopo na zaidi sana baada ya Ivo kuumia uongozi unahaha kumrudisha kundini mlinda mlango Juma Kaseja
Nilikutana na Juma Taifa na akakataa kuzungumzia suala hilo
Mgosi
Kazimoto
Now Kaseja taratibu hata Boban atarudi
Chanzo cha ndani kabisa kinasema baada ya kocha kutoridhika na makipa waliopo na zaidi sana baada ya Ivo kuumia uongozi unahaha kumrudisha kundini mlinda mlango Juma Kaseja
Nilikutana na Juma Taifa na akakataa kuzungumzia suala hilo
Kaseja lazima arudi Simba na Ivo lazima kwa njia yoyote ile akatwe. Friends of Simba wana deni kwa Kaseja ndiye waliokuwa wakimtumia kuihujumu Simba pindi wakitofautiana na uongozi uliokuwa madarakani. Kumbuka wakati wa Wambura na wakati wa Dalali mwanzoni Kaseja aligoma wakati anahitajika kambini na mara zote hizi alifungiwa na uongozi. Sasa leo hao Friends ndio wanaongoza Simba halafu eti Kaseja abaki kijiweni hiyo haiwezekani. Na kwa sababu akiwepo Ivo bila shaka yoyote lazima kocha atamchagua yeye na sio Kaseja njia iliyopo ni kumkata Ivo kwa sababu yoyote. Kaseja ni gharasa lakini kwa Friends ni mali tena utasikia amesajiliwa kwa fedha nyingi wakati hana thamani yoyote
naanza kuhisi haya unenayoNa ili kuhakisha Kaseja anakuwepo Simba msimu ujao ataletwa dakika za mwisho ili kocha asipate nafasi ya kumjaribu ili amkubali au amkatae. Ataaminishwa ni kipa mzuri japo misimu miwili hajadaka mechi ya ligi na hakuwa majeruhi bali kiwango
Mgosi
Kazimoto
Now Kaseja taratibu hata Boban atarudi