Kaseja Anukia Msimbazi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Chanzo cha ndani kabisa kinasema baada ya kocha kutoridhika na makipa waliopo na zaidi sana baada ya Ivo kuumia uongozi unahaha kumrudisha kundini mlinda mlango Juma Kaseja

Nilikutana na Juma Taifa na akakataa kuzungumzia suala hilo
 
Yule Oluoch wa Gor sijamkubali naskia na yule wa Ivory coast nae si mzuri kiivyo. Ni bora wamrudishe kaseja sababu anaijua sana ligi yetu na ana uzoefu wa kutosha.
Ukiangalia uzoefu ndio umetuua msimu uliopita. Kwa Kazimoto Mgosi Kiiza n Kaseja ukichanganya na damu changa kina Banda Ajibu Ndemla Tshabalala mambo yatakuwa mazuri.
 
inaonekana wana msimbazi wengi hawakubakiani na Kaseja kurudi Simba kadhalika Boban
Mgosi
Kazimoto

Now Kaseja taratibu hata Boban atarudi
 
Hata mimi simkubali Kaseja, yule anatabia za akina Zitto za Kinafiki. Boban kama mwalimu ni mwanasaikolojia sawa make hana maneno zaidi ya kazi. Mwalimu amfunde kupunguza hasira.


cc: Sembo na qote walio karibu na uongozi
Kwa hiyo mkuu inamaana wote wanaotoka kule kgm wanafanana?
 
Utasikia mashabiki wa Simba wanang'ang'ania Kaseja lazima apangwe timu ya Taifa kwasababu ni mchezaji wao kwa madai kwamba ni mzoefu.
 
Kwa hiyo mkuu inamaana wote wanaotoka kule kgm wanafanana?

Hapana bt angalia jinsi kaaseja alivyotoka Simba, mashabiki wa Simba hasa wa Dar walianza kumkataa mpaka uongozi ukamtosa.

Vile Kaseja huwa hawaivi na Ivo kumleta ndo yataanza ya kuwagawa wachezaji. Licha ya hivyo na yeye ana kaunafiki.

Wazee waishie kwa Boban JKJ hapana akasome ukocha tu
 
haya kipa hatuna lakini
Hata mimi simkubali Kaseja, yule anatabia za akina Zitto za Kinafiki. Boban kama mwalimu ni mwanasaikolojia sawa make hana maneno zaidi ya kazi. Mwalimu amfunde kupunguza hasira.


cc: Sembo na qote walio karibu na uongozi
 
umenena vuyema
 

Kaka ww umesema yule mnaigeria namuona huku znbar anaonekana halizishi kiwango kama Manyika peter junior ni mzuri kuliko huyo wakuja bora kaseja arudi simba
 
Jamani hatuwezi kwenda mbele, kurudi nyuma hii sio sendemaa...! Kaseja wakati wake ulishapita, ni kama ilivyokuwa Phiri ambaye mechi kubwa zikikaribia anakimbilia kwao eti matatizo ya kifamilia.

Tuna benchi kamili na la kisasa, huko kocha kama kuna kipa anamjua apendekeze na tumtafute. Otherwise, pesa zipo funja kabati sajili kipa wa ndani kwa mkataba mfupi sasa kwa vile hatuna mashindano ya kimataifa mwaka huu. Then tuendelee kutafuta kipa mzuri wakati tunaongeza dozi kwa hao mayosso !
 
Boban wa nn sasa wakati tuna atacking midfielders wazuri sana wakiwamo hao yosso ! Yaani tulete tena wavuta bange na madudu yao sasa ?? No way...
 
Kati MWAMEJA na KASEJA, yupi bora zaidi? Arudishwe aliye bora kati yao
 
Ngojeni muone mwisho wa hilo picha!!Karidishwa mgosi!!Why not kaseja??Hapo ndio home bwana nasikia hadi juma nyosso naye mazungumko yameanza.KWA UHAKIKA KABISA POINT 6 mnazo za kutoka jangwani but kwa azam hile mmmhhh msije KUTUNG'OLEA VITI VYETU PALE TAIFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…