Kaseja atua yanga kwa milioni 40

Kaseja atua yanga kwa milioni 40

Inawezekana wewe hujui historia za timu hizi mbili, simba ni timu ya waarabu na ndiyo maana mpaka leo kama huna kaka pale huchezi mwulize kaduguda atakueleza.
Mkuu labda useme SIMBA ilianzishwa na waarabu, ila kwa sasa inamilikiwa na wanchama, kama ilivo yanga ni timu iliyoanzishwa ikiwa na malengo ya kisiasa ndani yake, kwahiyo ukisema yanga inaundugu na ccm utakua hujakosea ingawa sasa ni ya wanachama.
 
Kasejaaa !!Hii ya kuwa na meneja ikaa vizuri, Usijepigwa changa la macho kama la Ngassa!!Elimu zenyewe za kuungaunga!na mikataba wakati mwingine imeandikwa kwa 'kidhungu' - Baadae wakileta longolongo we ulishaweka chako kibindoni zamanii!hawachelewi kuanza hao kama wanavyomsakama Bartez sasa! Ukiumaliza mzunguko wa pili salama shukuru Mungu!Hasa kwa 'difensi' ile vichochoro kibao!!!
 
Ni kweli usajili wa Kaseja yanga unatuacha na maswali kibao labda benchi la ufundi lina majibu mazuri katika hili lakini,kitendo cha kuongoza kwa bao TATU dhidi ya mahasimu wetu na magoli yoote kurudishwa hili ndo la ajabu zaidi,kama usajili huu umefanyika kuziba upungufu ule basi maswali na lakini lakini tulizonazo zitapungua.Manake tokea yatokee yalotokea siku ile Barthez anasugua mbao na si ajabu kaseja akawa mbadala wake,tusubiri atuonyeshe kivitendo,manake ana hasira za kuachwa ghafla sasa hasira zake zinaweza kua na faida kwetu ama hasara
 
mimi ni shabiki wa simba sc.
Lakini sikupendezwa na kitendo cha kumtema kaseja ghafla vile na baadhi ya watu wanasema kuwa dili la kwenda lupopo fc lilibanwa na baadhi ya viongozi wa hovyo wa ssc.
Sasa,kwa kuwa yanga wamemwokoa kaseja,nitapunguza kuichukia yanga,na naungana na pm wetu kuwa ssc tupigwe tu.

kaseja ni babu aende tu
 
Ivi kuchangia kwa kutukana maana yake ni kwamba unauchungu sana na timu ama?
Ukiona mtu mnabishana baadae akanza kuingiza matusi, ameshindwa hana hoja ama hana jibu, mfano watu wakipigana anaepigwa ndio huwa bingwa wa matusi.
 
Ni kweli usajili wa Kaseja yanga unatuacha na maswali kibao labda benchi la ufundi lina majibu mazuri katika hili lakini,kitendo cha kuongoza kwa bao TATU dhidi ya mahasimu wetu na magoli yoote kurudishwa hili ndo la ajabu zaidi,kama usajili huu umefanyika kuziba upungufu ule basi maswali na lakini lakini tulizonazo zitapungua.Manake tokea yatokee yalotokea siku ile Barthez anasugua mbao na si ajabu kaseja akawa mbadala wake,tusubiri atuonyeshe kivitendo,manake ana hasira za kuachwa ghafla sasa hasira zake zinaweza kua na faida kwetu ama hasara

Barthez msimu uliopita alionyesha kiwango cha hali ya juu sana,msimu huu anaonekana amebweteka sana na amekuwa akifungwa magoli ya kizembe,tangu Dida amepewa nafasi nae ameonyesha uwezo mkubwa sana kumbuka kwenye mechi nne hajafungwa hata goli moja na inaonekana anajua kuwapanga mabeki wake vizuri tofauti na Barthez.Barthez huenda akaachwa yale magoli mechi ya Simba yatakuwa yamemponza.Kaseja still ni kipa bora hapa Tanzania Simba walifanya makosa sana kumuacha ingawa Yanga hawakuwa na umuhimu wa kusajili golikipa lakini still nafikiri atatoa msaada
 
Mimi ni Shabiki wa Simba SC.
Lakini sikupendezwa na kitendo cha kumtema Kaseja ghafla vile na baadhi ya watu wanasema kuwa dili la kwenda Lupopo FC lilibanwa na baadhi ya viongozi wa hovyo wa SSC.
sasa,kwa kuwa Yanga wamemwokoa kaseja,nitapunguza kuichukia Yanga,na naungana na PM wetu kuwa ssc tupigwe tu.

Basi mpigwe tu
 
Anakinaisha magoli anayofungwa ya kimpampango. Amejishusha hadhi msije mtupia virago. Hakawi huyo kutenda maudhi
 
Utafiti wa Kichini chini Ulifanywa Karibu Mikoa Yote Ya Tanzania Bara na Visiwani na Ikajulikana Kuwa ktk Kila WENDAWAZIMU 15 Unaokutana Nao 14 ni Mashabiki Wakubwa na Wanazi wa Yanga na Wa Pili Ulifanyika Ni Kuangalia Kati Ya Mashabiki Wa Simba na Yanga Wepi ndiyo Wana IQ Nzuri na Kubwa na Wasomi Wa Ukweli Ikajulikana Kuwa ni Mashabiki wa Simba na Mwisho Ulifanyika Ushabiki wa Timu gani Inaongoza Kuwa na Mashabiki na Wanachama Matajiri Kuliko Nyingine Jibu Likawa ni Timu Ya Simba. Sasa Kwa Matokeo tu Ya Utafiti Huo wa Chini Chini Uliofanywa na Taasisi Moja Maarufu Jina Linahifadhiwa ili (KUEPUSHA KUVULIWA KOFIA NA WAZEE WASHIRIKINA NA WACHAWI WANAOGANGA NJAA PALE KLABUNI NA KUISHIA TU KUOMBA HELA KWA WACHEZAJI NA VIONGOZI) Sishangai Kwa Yanga Kumsajili Tena Golikipa Ambaye ni MLA RUSHWA MKUBWA HAPA NCHINI ambaye Kazi Yake ni Kuoa na Kisha Watoto wa Mjini WANAMGONGEA TU KAMA HAWANA AKILI NZURI. Na Hizo Hela Alizopewa Mwambieni Ampelekee Pia na Demu Wake Mtoto wa Mchungaji Anayeishi Kawe ambaye Kila Kukicha Anaumwa tu Kisichojulikana na Mwili Wake UNAKONGOROKA Siku hadi Siku. Muda Wowote Barthez Anarudi Kundini Nyumbani!
Kumbe umetoka mbali sana 😃
 
Back
Top Bottom