Nimefikiri mno cha kumwambia dogo Juma Kaseja katika maisha yake ya mpira na nimeona nimshauri astaafu kuichezea timu ya taifa hivi sasa. Ni muda muafaka kwake kufanya hivo.
Nimefikiri mno cha kumwambia dogo Juma Kaseja katika maisha yake ya mpira na nimeona nimshauri astaafu kuichezea timu ya taifa hivi sasa. Ni muda muafaka kwake kufanya hivo.
Kilichotufungisha na Uganda ni swaumu, full stop.
Eeee watazamaji walishindwa kushangilia ndo maana, lakini wachezaji walikuwa MAKOBE !!
Kilichotufungisha na Uganda ni swaumu, full stop.
Mkuulife is Short mambo ni aje? mbona PM zangu hunijibu?
Mbona nilitik okay nika accept.... nini kingine!
Mkuu nionavo huu ni muda muafaka kuachana na timu ya taifa bado mapema na aendelee kuchezea vilabu tu ili kulinda heshima yake tu.Inaelekea Kaseja kapata timu lubumbashi na moja ya vigezo vya kumchukua ni kwa kuwa ni kipa tz one,muhimu aendelee kudakia Taifa so long as kocha anamteua.
Mkuu sababu kubwa ni KULINDA HESHIMA tu kwani ameitumikia timu hii muda mrefu sasa. Yeye atafute vilabu vizuri tu ambavyo vina uongozi imara sio Simba wala Yanga na maisha yake yatakuwa mazuri mno, mbona Ivo Mapunda yupo nchini Kenya?Ungemalizia kwa kutoa na sababu pia kwa nini astaafu mapema wakati ana afya, uwezo na familia ambayo bila shaka inamtegemea yeye kupitia kazi yake ya soka.
Miaka 6 baadae Kaseja bado shujaa wa nchiNimefikiri mno cha kumwambia dogo Juma Kaseja katika maisha yake ya mpira na nimeona nimshauri astaafu kuichezea timu ya taifa hivi sasa. Ni muda muafaka kwake kufanya hivo.