Kaseja jiuzuru kuchezea timu ya taifa.

Kaseja jiuzuru kuchezea timu ya taifa.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Nimefikiri mno cha kumwambia dogo Juma Kaseja katika maisha yake ya mpira na nimeona nimshauri astaafu kuichezea timu ya taifa hivi sasa. Ni muda muafaka kwake kufanya hivo.
 
Ungemalizia kwa kutoa na sababu pia kwa nini astaafu mapema wakati ana afya, uwezo na familia ambayo bila shaka inamtegemea yeye kupitia kazi yake ya soka.
 
Mbona umri wake bado mdogo sana....ana miaka 29 tu

Nimefikiri mno cha kumwambia dogo Juma Kaseja katika maisha yake ya mpira na nimeona nimshauri astaafu kuichezea timu ya taifa hivi sasa. Ni muda muafaka kwake kufanya hivo.
 
Inaelekea Kaseja kapata timu lubumbashi na moja ya vigezo vya kumchukua ni kwa kuwa ni kipa tz one,muhimu aendelee kudakia Taifa so long as kocha anamteua.
 
Mkuu nionavo huu ni muda muafaka kuachana na timu ya taifa bado mapema na aendelee kuchezea vilabu tu ili kulinda heshima yake tu.
 
Ungemalizia kwa kutoa na sababu pia kwa nini astaafu mapema wakati ana afya, uwezo na familia ambayo bila shaka inamtegemea yeye kupitia kazi yake ya soka.
Mkuu sababu kubwa ni KULINDA HESHIMA tu kwani ameitumikia timu hii muda mrefu sasa. Yeye atafute vilabu vizuri tu ambavyo vina uongozi imara sio Simba wala Yanga na maisha yake yatakuwa mazuri mno, mbona Ivo Mapunda yupo nchini Kenya?
 
Back
Top Bottom