Kaseja kashafanya yake kuelekea mchezo wa Tanzania dhidi ya Kenya

Manula alikuwa ampiga misumari Kakolanya, this time kakutana mbabe wake.
Walikuaga timu moja Wapi hawa ukiacha Simba ambako Kakolanya kajiunga juzi juzi?
 
Sasa haoni kama misumari ikizidi aishi mtamkosa hata kule unyamani?
Nadhani kakolanya ataziba pengo
Huyu aisha hata huku kwetu unyamani amekuwa anatucost wakati meingine, sema ndio hivyo tu kufa kwa waganga, watu watapungwa na walevi...

Bongo baada ya kaseja hatujapata tena golikipa bora tuna bora golikipa tu!!
 
Mambo mengine niyakipumbavu sana kuyaamini na kuyaandika mtu mwenye akili timamu
 
Reactions: Tui
Ivi tanzania kuna kipa bora kama kaseja?
 
Angedaka Menata Mhata, hata AFCON alifaka moja. Kaseja kashapitwa na wakati. Na huo ushotii sasa. Kocha huyu nae kimeo. Timu imekaa ki- mikia mikia FC.
 
Ndio, Manula anaumwa mechi hii ya nyumbani basi Kaseja adake na kule Kenya tena ili kuondoa lawama.
Isije kuwa Kaseja anacheza mechi za nyumbani tu na za ugenini Manula.
 
Kaseja ni kipa bora lakin tunataka team ambayo miaka mitano ijayo itakua tishio..

Kwa kuwaweka kina kaseja inamaanisha tunaangalia game moja tu na sio maendeleo ya stars ya baadae
Ina maana juventus turin wanakosea kumuweka Buffon golini?
 
Weka ushahidi mezani tuamini umbea wako.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…