mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
HaaaaaAfungue duka la vifaa vya michezo uchambuzi hawezi
Ataweza tu kwa kuwa bongo hakuna wachambuzi mahiri, karibia wote wanaelemea simba au yanga... kwa maana nyingine hakuna mtanzania asiyeweza kuchambua soka... kibongobongo kuchambua soka ni kama kuchambua mchele.Juma Kaseja ameanza kuchambua mechi za mpira kupitia kituo cha radio cha Clouds FM. Ikumbukwe pia Kaseja aliestaafu mpira msimu uliyopita, ana leseni ya ukocha wa makipa inayotambuliwa na CAF.
Unaonaje uwezo wa Kaseja?
Hivi kaseja ni Simba ama yanga?Ataweza tu kwa kuwa bongo hakuna wachambuzi mahiri, karibia wote wanaelemea simba au yanga... kwa maana nyingine hakuna mtanzania asiyeweza kuchambua soka... kibongobongo kuchambua soka ni kama kuchambua mchele.
Hakuna weledi hata chembe.