Kaseja mchambuzi Clouds FM

Kaseja mchambuzi Clouds FM

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Juma Kaseja ameanza kuchambua mechi za mpira kupitia kituo cha radio cha Clouds FM. Ikumbukwe pia Kaseja aliestaafu mpira msimu uliyopita, ana leseni ya ukocha wa makipa inayotambuliwa na CAF.

Unaonaje uwezo wa Kaseja?
 
Ataweza tu kwa kuwa bongo hakuna wachambuzi mahiri, karibia wote wanaelemea simba au yanga... kwa maana nyingine hakuna mtanzania asiyeweza kuchambua soka... kibongobongo kuchambua soka ni kama kuchambua mchele.
Hakuna weledi hata chembe.
 
Hivi kaseja ni Simba ama yanga?
 
Back
Top Bottom