Mimi nimependa Elasto na NyoniHawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
Elasto au Erasto?Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
Yondani?Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
Bila shaka umemaanisha Nyoni, Kaseja na Yondani.Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
Yondani...mkude anaonekana kuleta utulivu zaidi. Ila sidhani kama mleta mada alimanisha na mkude. Mkude timu ya taifa hajacheza sana. Nadhani kamanisha kaseja, nyoni na yondani.Juma kaseja,Erasto nyoni na Jonas mkude
Mapacha watatu
Elasto mchezaji mpya huyu.
Wapi kamtaja Erasto? mimi nimeona amesema Kaseje , Nyoni na ElastoKaseja, Nyoni na Erasto!
Erasto yupi?