Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.