Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
Nadhani hukuangalia vizuri. Goli la Burundi ilikuwa ni uzembe wa defenders angalia HapaLeo karibia timu yote ilicheza vizuri! Hakutokea hata mchezaji mmoja aliyegeuka uchochoro kwenye timu. Hakika timu yote pamoja na benchi la ufundi, wanastahili pongezi kwa kupambana mwanzo mwisho.
Sorry wakuu furaha ilizidi nilimaanisha Kaseja,Yondani na Elasto.
Ondoa mkude Tia Cotton Vidic Yondani..Juma kaseja,Erasto nyoni na Jonas mkude
Mapacha watatu
mkuu edit basi uzi wako maana jf ina opt ya kueditSorry wakuu furaha ilizidi nilimaanisha Kaseja,Yondani na Elasto.
kumbe elasto na nyoni ni wachezaji wawili tofauti.Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
Kaseja,Nyoni & YondaniHawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
Mkude jana kagoma kupiga penaltyJuma kaseja,Erasto nyoni na Jonas mkude
Mapacha watatu
Nawaza tu vita ya kugombea U-beki 3 kati ya Tshabalala na Gadiel timu ya Simba na Taifa Stars. Hawa jamaa akiingia mmoja kuchukua nafasi ya mwengine anakua mtamu zaidi. Otherwise mmoja ahamishiwe tu kua Winga wa Kushoto.Ondoa mkude Tia Cotton Vidic Yondani..
Lawama zile Mkuu, pia waweza kujitia huzuni tu.Mkude jana kagoma kupiga penalty
Nawaza tu vita ya kugombea U-beki 3 kati ya Tshabalala na Gadiel timu ya Simba na Taifa Stars. Hawa jamaa akiingia mmoja kuchukua nafasi ya mwengine anakua mtamu zaidi. Otherwise mmoja ahamishiwe tu kua Winga wa Kushoto.
Nadhani hukuangalia vizuri. Goli la Burundi ilikuwa ni uzembe wa defenders angalia Hapa
Wapi kamtaja Kaseje? Acha unafiki.Wapi kamtaja Erasto? mimi nimeona amesema Kaseje , Nyoni na Elasto
Hahahaha kaneno kamoja tu kwa mbongo ushabadili mada.Watu wameacha ku discuss mada ila wabongo bhana