Kaseja,Nyoni,na Elasto siku wakiistaafu wapigiwe mizinga 20 ya heshima.

Sorry wakuu furaha ilizidi nilimaanisha Kaseja,Yondani na Elasto.
Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
 
Tunampongeza Mh.Rais kwa jitihada na mawaidha na hamasa zake kwa Timu zilizopelekea kwa ushindi huu!

Tunawashukuru Wachezaji kwa kutekeleza Ilani ya Uchaguz 2015-2020
 
Leo karibia timu yote ilicheza vizuri! Hakutokea hata mchezaji mmoja aliyegeuka uchochoro kwenye timu. Hakika timu yote pamoja na benchi la ufundi, wanastahili pongezi kwa kupambana mwanzo mwisho.
Nadhani hukuangalia vizuri. Goli la Burundi ilikuwa ni uzembe wa defenders angalia Hapa

Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
kumbe elasto na nyoni ni wachezaji wawili tofauti.
 
Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni mchango wao katika timu ya taifa. Hawa wachezaji watabaki kuwa mfano mzuri wa kuigwa vijana wenye ndoto ya kucheza soka kwa mda mrefu sn.
Kaseja,Nyoni & Yondani
 
Yes, wamecheza muda mrefu lakini sidhani kama muda waliocheza Taifa Stars imepata mafanikio yoyote zaidi ya kushiriki Afcon...
 
Ondoa mkude Tia Cotton Vidic Yondani..
Nawaza tu vita ya kugombea U-beki 3 kati ya Tshabalala na Gadiel timu ya Simba na Taifa Stars. Hawa jamaa akiingia mmoja kuchukua nafasi ya mwengine anakua mtamu zaidi. Otherwise mmoja ahamishiwe tu kua Winga wa Kushoto.
 
Tshabalala is better than Gadiel
Nawaza tu vita ya kugombea U-beki 3 kati ya Tshabalala na Gadiel timu ya Simba na Taifa Stars. Hawa jamaa akiingia mmoja kuchukua nafasi ya mwengine anakua mtamu zaidi. Otherwise mmoja ahamishiwe tu kua Winga wa Kushoto.
 
Nadhani hukuangalia vizuri. Goli la Burundi ilikuwa ni uzembe wa defenders angalia Hapa

Ulikuwa ni uzembe tu wa kawaida unaoweza kuitokea timu yoyote ile hasa kwenye dakika kama zile kuelekea mapumziko. Lakini kwa ujumla, timu ilijitahidi sana na hata 'fighting spirit' yao ilionekana wazi kuwa juu.

Na hiki ndicho kitu Watanzania wengi tunapenda!
Tuone timu ikitolewa, lakini wachezaji wakionekana wamelipambania Taifa lao mpaka hatua ya mwisho.
 
Back
Top Bottom