Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Richard Kasesela ametoa wito kwa watu kutotafsiri maoni ya mtandaoni kama ndiyo maoni ya taifa zima.
Haya ameyasema baada ya kuulizwa juu ya uwepo wa maoni hasi(negative comments) kwenye baadhi ya machapisho yanayohusu vifo vya makada wa CCM.
"ukichukua maoni ya mtandao ukageuza ndiyo maoni ya taifa unajisumbua na mtu Yoyote anayesikiliza wanaotukana kwenye mitandao anajisumbua bure na usipoizoea utapata tabu... lazima tuwe makini kugeuza mitandao kama ndiyo hukumu ya maisha yetu" amesema Kasesela