Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Brood of vipers wamepata masikio, why bother kama sio maoni ya taifa,Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Richard Kasesela ametoa wito kwa watu kutotafsiri maoni ya mtandaoni kama ndiyo maoni ya taifa zima.
Haya ameyasema baada ya kuulizwa juu ya uwepo wa maoni hasi(negative comments) kwenye baadhi ya machapisho yanayohusu vifo vya makada wa CCM.
"ukichukua maoni ya mtandao ukageuza ndiyo maoni ya taifa unajisumbua na mtu Yoyote anayesikiliza wanaotukana kwenye mitandao anajisumbua bure na usipoizoea utapata tabu... lazima tuwe makini kugeuza mitandao kama ndiyo hukumu ya maisha yetu" amesema Kasesela
Yupo sahihi kabisa.Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Richard Kasesela ametoa wito kwa watu kutotafsiri maoni ya mtandaoni kama ndiyo maoni ya taifa zima.
Haya ameyasema baada ya kuulizwa juu ya uwepo wa maoni hasi(negative comments) kwenye baadhi ya machapisho yanayohusu vifo vya makada wa CCM.
"ukichukua maoni ya mtandao ukageuza ndiyo maoni ya taifa unajisumbua na mtu Yoyote anayesikiliza wanaotukana kwenye mitandao anajisumbua bure na usipoizoea utapata tabu... lazima tuwe makini kugeuza mitandao kama ndiyo hukumu ya maisha yetu" amesema Kasesela
Uongo. Kama mitandao haina sway yoyote, kwanini mnaifungia sasa? Si muiache tu kwa sababu haina madhara chawa wewe.Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Richard Kasesela ametoa wito kwa watu kutotafsiri maoni ya mtandaoni kama ndiyo maoni ya taifa zima.
Haya ameyasema baada ya kuulizwa juu ya uwepo wa maoni hasi(negative comments) kwenye baadhi ya machapisho yanayohusu vifo vya makada wa CCM.
"ukichukua maoni ya mtandao ukageuza ndiyo maoni ya taifa unajisumbua na mtu Yoyote anayesikiliza wanaotukana kwenye mitandao anajisumbua bure na usipoizoea utapata tabu... lazima tuwe makini kugeuza mitandao kama ndiyo hukumu ya maisha yetu" amesema Kasesela
Huyu mwili mkubwa na kichwa kikubwa hajawahi kumiliki kitu kinaitwa AKILI. Alipewa sauti kubwa tu kama ya wale wanaosema "mbengu zimefunguka"!Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Richard Kasesela ametoa wito kwa watu kutotafsiri maoni ya mtandaoni kama ndiyo maoni ya taifa zima.
Haya ameyasema baada ya kuulizwa juu ya uwepo wa maoni hasi(negative comments) kwenye baadhi ya machapisho yanayohusu vifo vya makada wa CCM.
"ukichukua maoni ya mtandao ukageuza ndiyo maoni ya taifa unajisumbua na mtu Yoyote anayesikiliza wanaotukana kwenye mitandao anajisumbua bure na usipoizoea utapata tabu... lazima tuwe makini kugeuza mitandao kama ndiyo hukumu ya maisha yetu" amesema Kasesela
Basi tutaanza kuchukuwa ya uvccm na yale ya chawa!Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Richard Kasesela ametoa wito kwa watu kutotafsiri maoni ya mtandaoni kama ndiyo maoni ya taifa zima.
Haya ameyasema baada ya kuulizwa juu ya uwepo wa maoni hasi(negative comments) kwenye baadhi ya machapisho yanayohusu vifo vya makada wa CCM.
"ukichukua maoni ya mtandao ukageuza ndiyo maoni ya taifa unajisumbua na mtu Yoyote anayesikiliza wanaotukana kwenye mitandao anajisumbua bure na usipoizoea utapata tabu... lazima tuwe makini kugeuza mitandao kama ndiyo hukumu ya maisha yetu" amesema Kasesela
Msenge.sana"ukichukua maoni ya mtandao ukageuza ndiyo maoni ya taifa unajisumbua na mtu Yoyote anayesikiliza wanaotukana kwenye mitandao anajisumbua bure na usipoizoea utapata tabu... lazima tuwe makini kugeuza mitandao kama ndiyo hukumu ya maisha yetu" amesema Kasesela
Sawa kuanzia wapi kwani yale wanayowaandia mtandaoni wanawaandikia nani kwanini wasifunge page zao zote za mitandaoni watembee door to door km mtandaoni hamna watu wanaowataka wao huko mtaani wakienda door to door watakuta face to face ndio wataelewa vizuri kwamba waliopo mtandaoni ndio waliopo mtaani, mazafakaYupo sahihi kabisa.
Umemaliza?Sawa kuanzia wapi kwani yale wanayowaandia mtandaoni wanawaandikia nani kwanini wasifunge page zao zote za mitandaoni watembee door to door km mtandaoni hamna watu wanaowataka wao huko mtaani wakienda door to door watakuta face to face ndio wataelewa vizuri kwamba waliopo mtandaoni ndio waliopo mtaani, mazafaka
Ndio nimeanzaUmemaliza?
Chawa tu huyo hapo anasema hivyo kubembeleza teuzi!Yupo sahihi kabisa.
EndeleaNdio nimeanza