PreGE2025 Kasesela: Wabunge acheni kuwakanyaga wanaotaka kugombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Viti 20 Bara Richard Kasesela amewataka wabunge walioko madarakani kuacha kuwakanyaga na kuwachoma wale wanaoonesha nia ya kugombea kwenye maeneo yao.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kasesela ametoa angalizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Kemondo wilayani Bukoba ambapo ameeleza kuwa dhambi kubwa inayowatafuna viongozi wa CCM baada ya kupata Madaraka ni kusahau kuwasemea wananchi wao.
 
Hakuna MBUNGE yupo kwa ajiri ya mwananchi n yeye mwenye, family, na CCM
 
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Viti 20 Bara Richard Kasesela amewataka wabunge walioko madarakani kuacha kuwakanyaga na kuwachoma wale wanaoonesha nia ya kugombea kwenye maeneo yao.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kasesela ametoa angalizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Kemondo wilayani Bukoba ambapo ameeleza kuwa dhambi kubwa inayowatafuna viongozi wa CCM baada ya kupata Madaraka ni kusahau kuwasemea wananchi wao.
...kwa hiyo komredi Kasesela tumtegemee jimbo la Kawe ?!!
 
Huyu analitaka jimbo la Iringa mjini ila kwa ile kauli yake ya "tuliza matakor chini" sijui kama atatoboa
Hahaha namfahamu vyema komredi mkulungwa Kasesela...ni mwanachama mwenzangu tawi moja pale mikocheni CCM kontena....
 
Back
Top Bottom