Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sugu vp hapo DesderiaHuyu jamaa bado hajasema
We kapuku bado upo jf?Sugu vp hapo Desderia
Nipo naendelea kuwachora na Tone Tone 😂😂We kapuku bado upo jf?
...kwa hiyo komredi Kasesela tumtegemee jimbo la Kawe ?!!Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Viti 20 Bara Richard Kasesela amewataka wabunge walioko madarakani kuacha kuwakanyaga na kuwachoma wale wanaoonesha nia ya kugombea kwenye maeneo yao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kasesela ametoa angalizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Kemondo wilayani Bukoba ambapo ameeleza kuwa dhambi kubwa inayowatafuna viongozi wa CCM baada ya kupata Madaraka ni kusahau kuwasemea wananchi wao.
Huyu analitaka jimbo la Iringa mjini ila kwa ile kauli yake ya "tuliza matakor chini" sijui kama atatoboa...kwa hiyo komredi Kasesela tumtegemee jimbo la Kawe ?!!
Hahaha namfahamu vyema komredi mkulungwa Kasesela...ni mwanachama mwenzangu tawi moja pale mikocheni CCM kontena....Huyu analitaka jimbo la Iringa mjini ila kwa ile kauli yake ya "tuliza matakor chini" sijui kama atatoboa