Kasha la maziwa ya Dar Fresh

Grammar haina msaada kwenye mawasiliano?

Aisee!!
Ndio, haina msaada mimi hata nikisoma kitabu huwa siangalii error hata nikiikuta basi najirekebishia mwenyewe nachoangalia mimi ni implied meaning, yaani mwandishi alikuwa anakusudia kuniambia nini, ova.
 
Utajuaje mwandishi alichokusudia kukuambia? Au unasadiki tu kuwa labda alimaanishi hiki na kile?
 
Nyani gabu huwa mi nakuelewa sana my brother
 
Hivi huwa hawahakiki kwanza kabla ya kuziweka hizo bidhaa sokoni au wote waliopo huko Dar Fresh ni vilaza?
Mwanangu alitumia haya maziwa.... Alipata allergic reaction ya hatari sana.... Siku 4 baadae ndio uliisha kwa kumeza anti-histamines.... Nakaa mbali kabisa na haya maziwa.... Japokuwa yana ladha nzuri sana kwa watoto.
 
Oh no!! Pole kwa toto...
 
Mwanangu alitumia haya maziwa.... Alipata allergic reaction ya hatari sana.... Siku 4 baadae ndio uliisha kwa kumeza anti-histamines.... Nakaa mbali kabisa na haya maziwa.... Japokuwa yana ladha nzuri sana kwa watoto.
Watoto naona wapo wenye allergy na maziwa tu.. Kuna mmoja yeye hata maziwa ya ng'ombe hayaendi anaallergy nayo..

Keki ile akila tu hapata kalikaa, je wa kwako maziwa mengine hayasumbui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…