babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Wanasoma ila hamna anayeelewa,aliyeandika mwenyewe ukimuuliza kamaanisha nini atakwambia hajui😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasoma ila hamna anayeelewa,aliyeandika mwenyewe ukimuuliza kamaanisha nini atakwambia hajui😀
Umeanza mipashoNimesema nimeyanywa? Una wazimu? Una maruerue? Au unaota?
Umeanza mipasho
Ndio, haina msaada mimi hata nikisoma kitabu huwa siangalii error hata nikiikuta basi najirekebishia mwenyewe nachoangalia mimi ni implied meaning, yaani mwandishi alikuwa anakusudia kuniambia nini, ova.Grammar haina msaada kwenye mawasiliano?
Aisee!!
Ndio, haina msaada mimi hata nikisoma kitabu huwa siangalii error hata nikiikuta basi najirekebishia mwenyewe nachoangalia mimi ni implied meaning, yaani mwandishi alikuwa anakusudia kuniambia nini, ova.
Kama kampuni hiyo ni ya Mtanzania usishangae maana kuna hotel kubwa mapokezi pameandikwa "RESEPCION"
Kama kampuni hiyo ni ya Mtanzania usishangae maana kuna hotel kubwa mapokezi pameandikwa "RESEPCION"
Kabisa kabisaHujanywa?so tunaongea hadithi?
Hamna ng'ombe hapo Dar ujue!
Labda hata hayo maziwa ni unga toka Guangzhou
Nyani gabu huwa mi nakuelewa sana my brother
Ya kiporo cha Christmas ya janaUmeanza mipasho
Kutojua grammar ya English ndio kuwa kilaza?Hivi huwa hawahakiki kwanza kabla ya kuziweka hizo bidhaa sokoni au wote waliopo huko Dar Fresh ni vilaza?
Namba ya Wadau wa Spanish language ni ndogo sana ukilinganisha na Wadau wa UK languageBut that is proper spanish word meaning RECEPTION
Mwanangu alitumia haya maziwa.... Alipata allergic reaction ya hatari sana.... Siku 4 baadae ndio uliisha kwa kumeza anti-histamines.... Nakaa mbali kabisa na haya maziwa.... Japokuwa yana ladha nzuri sana kwa watoto.Hivi huwa hawahakiki kwanza kabla ya kuziweka hizo bidhaa sokoni au wote waliopo huko Dar Fresh ni vilaza?
Kutojua grammar ya English ndio kuwa kilaza?
Mwanangu alitumia haya maziwa.... Alipata allergic reaction ya hatari sana.... Siku 4 baadae ndio uliisha kwa kumeza anti-histamines.... Nakaa mbali kabisa na haya maziwa.... Japokuwa yana ladha nzuri sana kwa watoto.
Tulia unyw maziwa bwana, English mwache Elizabeth... Mhimu pumziNi sehemu ya ukilaza...
Utakuwa umekunywa wewe!Nimesema nimeyanywa? Una wazimu? Una maruerue? Au unaota?
Watoto naona wapo wenye allergy na maziwa tu.. Kuna mmoja yeye hata maziwa ya ng'ombe hayaendi anaallergy nayo..Mwanangu alitumia haya maziwa.... Alipata allergic reaction ya hatari sana.... Siku 4 baadae ndio uliisha kwa kumeza anti-histamines.... Nakaa mbali kabisa na haya maziwa.... Japokuwa yana ladha nzuri sana kwa watoto.