Kasha la maziwa ya Dar Fresh

Kasha la maziwa ya Dar Fresh

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
I’m sorry if at times I come across as being too pedantic when it comes to English grammar and etc.

Sometimes I just can’t help it. I’m hardwired that way, I reckon.

Now look at this here! Where do I even begin?

67ED9CD9-3387-4FCE-9BEA-83582B8A38AB.jpeg
094DBC89-18A9-42D2-B360-5974B0D6DF5D.jpeg
 
Kunywa maziwa ulale we mbeba box mambo yako ya new jersey yaache kule.
Maziwa umenunua jero unataka ungenge fasaha?Km pesa ya semester imeisha rudi kwenu usiwape tabu watu na maisha yao

Dumbass.
 
wakemia hawanaga muda wa kuhakiki lugha. injinia soooma hiyooo interpre iterpretenureshhh eeeh hiyo hiyo mliyo sema. Maneno ya mzee baba

Hahahaaaaaaa hivi hiyo ni kweli au watu waliifanyia ujanja kwa kuihariri ili itokee vile ilivyotokea?
 
Hilo ni soko linamilikiwa na serikali hata kama wanaoendesha hizo bucha ni watu binafsi.
 
I’m sorry if at times I come across as being too pedantic when it comes to English grammar and etc.

Sometimes I just can’t help it. I’m hardwired that way, I reckon.

Now look at this here! Where do I even begin?

View attachment 977572View attachment 977573
Kwa sisi tusiojua kiingereza wala sijaona tofauti. Kwa tafsiri yangu anasema, maziwa ya Dar fresh yanatoka au kutengenezwa na Milkom Dairies, habari ya grammar tupa kule, havina msaada kwenye mawasiliano.
 
Grammar haina msaada kwenye mawasiliano?

Aisee!!
 
Back
Top Bottom