Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #41
Utakuwa umekunywa wewe!
Kama nimemnunulia mtoto je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa umekunywa wewe!
SawaKama nimemnunulia mtoto je?
Mwanangu hana allergy na maziwa.... Isipokuwa haya ya Dar Fresh.... Yalileta shida kidogo. Maziwa Fresh na ya mgando anakunywa hayana changamoto kwake.Watoto naona wapo wenye allergy na maziwa tu.. Kuna mmoja yeye hata maziwa ya ng'ombe hayaendi anaallergy nayo..
Keki ile akila tu hapata kalikaa, je wa kwako maziwa mengine hayasumbui?
Ok, pole msweet (mtamu)Mwanangu hana allergy na maziwa.... Isipokuwa haya ya Dar Fresh.... Yalileta shida kidogo. Maziwa Fresh na ya mgando anakunywa hayana changamoto kwake.
Msaada kwenye "Tuta" tusiofahamu lugha ya Kiingereza, tunaomba tafsiri nasisi tutoemaoni anza na "Tafsiri isiyorasmi " au "Kwatafsiri yangu" halafu ndio uanze tafsiri, tunasubiri tafadhali.....I’m sorry if at times I come across as being too pedantic when it comes to English grammar and etc.
Sometimes I just can’t help it. I’m hardwired that way, I reckon.
Now look at this here! Where do I even begin?
View attachment 977572View attachment 977573
Kwa sisi Kayumba mbona tunaona hakuna tatizo lolote!!?
hahahaha nimeipenda hii
Thank you very much dear.Ok, Pole Msweet /Mtamu
uandishi wa hiyo lugha kwenye hilo kashaIpi hiyo?
Hebu acha uongo, eti Kongo na Rwanda, wewe!English,English! .tulitawaliwa na malkia,bila kutuachia lugha yake,tunazidiwa na Kongo na Rwanda waliopita shule wanaweza kunyoosha sentensi wakati ni franc phone.
Thibitisha uongo wangu,na ulete ukweli.Hebu acha uongo, eti Kongo na Rwanda, wewe!
Acha uongo wewe, mnajiongeleaga tu humu. Yaani unafikiri hao watu hatuishi nao au?Thibitisha uongo wangu,na ulete ukweli.
Kwa Kiswahili Ni Ujasiriamali (Entrepreneurs)wakemia hawanaga muda wa kuhakiki lugha. injinia soooma hiyooo interpre iterpretenureshhh eeeh hiyo hiyo mliyo sema. Maneno ya mzee baba
Hivo vi-Ben ten vyenu vilivyokimbia shule vikaja kupiga muziki huku,ndo unavyovijua wewe.Acha uongo wewe, mnajiongeleaga tu humu. Yaani unafikiri hao watu hatuishi nao au?