Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya

Walipokuja walitambulishwa na sura zao kila mmoja akazishika ila ilipofika asubuhi hali ikawa tofauti ikabidi kiongozi wa familia aitishe kikao cha dharura kwaajili ya kutambulisha wageni upya
 
Wote ni wa kike au kwenu kijijini wageni wa kiume pia nao wanafanya makeup?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…