Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Tarehe 05 Mei 2024 aliyekuwa waziri wa ujenzi Innocent Bashungwa alifika katika eneo la Somanga - Mtama mkoani Lindi ambapo barabara ilikatika kutoka na mvua kubwa zilizobatana na kimbunga Hidaya, na kusimamia ujezi wa muda ili njia ipatikane. Kumbe ilikuwa geresha tu
Sasa leo Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdala Ulega bado yupo Somanga akiendelea kusimamia ukarabati wa barabara iliyokatika kutokana na mvua kubwa na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano kati ya mikoa ya Lindi na Mtwara na kuelekea Dar es salaam.
Soma Pia: Bashungwa Afika Somanga Kukagua Athari za Mvua Barabara ya Dar - Lindi
Mhe.Ulega ameahidi kuwepo hapa mpaka atakapohakikisha barabara inapitika na wananchi wanaendelea na safari zao.