Kashfa nzito dhidi ya Manji...

Where is Manji?Sijamsikia hata kule Yanga akiwa anachangia na kujitangaza kwenye magazeti ya michezo tangu uchaguzi wa CCM uishe ,je ?kapotelea wapi?

Kampuni ya CCM iliyoporwa na Manji ya Gaming Management of Tanzania, inayoendesha bahati nasibu ya Lotto Kitita, imefutiwa leseni na Gaming Board of Tanzania, baada ya kukiuka taratibu za bodi hiyo. Jamaa alikwenda mahakamani, akashindwa ikaonekana afutiwe tu, tena ikaonekana bodi walichelewa kufuta, amekata tena rufani, lakini kwa kifupi hiyo Lotto Kitita, ni geresha tu kuna mambo makubwa maana bodi imegundua kwamba mapato yanayoonekana hayatoshi hata kulipa gharama. Hiyo ni kwa mujibu wa maelezo sahihi ya OFISA MMOJA MZITO WA HAZINA
 

Hapa utanisamehe tu ndugu yangu lakini sikuungi mkono! Yaani mwanaume "anayepigwa deki" awe na busara kuliko nani? Labda ukimlinganisha na mashoga wenzake wapo wengi tu atakaowazidi, lakini ni dhambi kubwa sana na ni kufuru ya ajabu kumlinganisha mwanaume shoga na wanaume straight kwa LOLOTE lile. Maana hapo ni sawa na kulinganisha binadamu na fisi, ukiona fisi ana uwezo wa kukimbia kuliko binadamu utasema fisi ni bora zaidi?
 

mzee sheria hiyo mbona ipo? Sidhani kama suala hili ni la kisheria bali zaidi la kimaadili. Kuna maadili mengine ni vigumu kuyatungia sheria. Unless, tuwe na Moral Police Force..
 
Halafu unawasha moto kwa mijitu mimafia ambayo imekata tamaa na maisha, subiri sasa kiama baada ya masaa 240.

Mwanakjj, usipuuzie mikwara ya huyu jamaa. Hivi karibuni umekuwa ukizungumza na viongozi wa CCM kuhusu mambo ya "Kamati" na hilo halijapokelewa vizuri. Trajectory ya simu yako na maongezi yako yanafuatiliwa kwa karibu. Najua tunapingana n.k lakini ushauri wa bure ni kuwa "low profile" sasa hivi. Kuna mtu ambaye siwezi kuamini amedai ati "rafiri yako wa zamani" na alikwua anatafuta picha yako.

Asante, and i'm out!
 

Is Tanzania turning into a Police State?
 
Dotori, usiwe na wasiwasi ni porojo tu hamna hili wala lile. mwendo mdundo tu.
 
Dotori, usiwe na wasiwasi ni porojo tu hamna hili wala lile. mwendo mdundo tu.

Itasikitisha kama wadau watashindwa kuchangia na kujadili mambo yanayohusu nchi kwa hofu kufuatiliwa na vyombo vya dola.

Nadhani forum hii ni ya kupashana habari na kuelimishana.
Ni vyema basi wa wafuatiliaji wakachukua hizi duku duku za wananchi na kuzifikisha kwa wanaohusika ili hoja zinazotolewa humu ndani zisaidie kuleta mabadiliko ndani ya nchi yetu au kwa wale walengwa wa mada.
Nawasilisha
 

Wewe umetumwa wewe, tangu enzi zile za Ndege ya Lowassa ulikuwa unamtisha Mwanakijiji. Mahojiano ya ile kamati ya Bomani umeyasikia? kitu gani cha ajabu pale? acha ujinga wewe.
 

Mambo ya vitisho yamepitwa na wakati. Basi WTZ wote wauawe wabakie viongozi na wapambe wao ili waishi kwa raha na mustarehe hadi milele. Hii ndiyo tunaita mikwara mbuzi.
 
Sasa brazamen, hiyo picha yako ya kambwa kaliko lengwa shaba, na swali langu vina uhusiano gani? Ama ni vibaya kuuliza usilo lijua ama... ???
 
mzee sheria hiyo mbona ipo? Sidhani kama suala hili ni la kisheria bali zaidi la kimaadili. Kuna maadili mengine ni vigumu kuyatungia sheria. Unless, tuwe na Moral Police Force..

Kama sheria zipo, basi inatosha kwa sbabu tukianzisha Moral Police Force kwa bongo, ni wapi tuta-draw the line? Maana si itabidi tuanzie mbali mpaka kwenye kuwa na mke zaidi ya mmoja?

Manake, Baba wa Bush, in the 80s alimshangaa sana Mzee Rukhsa mpaka kumuuliza anawezaje ku-handle the nation na wake wawili!
 
Natafuta mke jamani, hebu nipeni data za huyu Regina jamani!! Msagaji ? duuuu kazi kweli kweli
Kuna tetesi kuwa Regina Mengi ni msagaji na mafisadi papa wana mpango wa kuzirusha picha za huyu binti akifanya usagaji ili kumaliza Mengi kibiashara...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…