Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 614
Where is Manji?Sijamsikia hata kule Yanga akiwa anachangia na kujitangaza kwenye magazeti ya michezo tangu uchaguzi wa CCM uishe ,je ?kapotelea wapi?
Kampuni ya CCM iliyoporwa na Manji ya Gaming Management of Tanzania, inayoendesha bahati nasibu ya Lotto Kitita, imefutiwa leseni na Gaming Board of Tanzania, baada ya kukiuka taratibu za bodi hiyo. Jamaa alikwenda mahakamani, akashindwa ikaonekana afutiwe tu, tena ikaonekana bodi walichelewa kufuta, amekata tena rufani, lakini kwa kifupi hiyo Lotto Kitita, ni geresha tu kuna mambo makubwa maana bodi imegundua kwamba mapato yanayoonekana hayatoshi hata kulipa gharama. Hiyo ni kwa mujibu wa maelezo sahihi ya OFISA MMOJA MZITO WA HAZINA