...labda "maana yao" sababu ya kifo ndio hayo "mapenzi ya mungu"! maana mtu hawezi kufa kama siku zake hazijatimia. Kuna walotwangwa risasi ya kichwa lakini wakanusurika kifo, na hata wagonjwa wa kisukari na malaria kuna alookufa kwa ajali ya gari akikimbizwa hospitali! Yote ni mapenzi ya Mungu!!!
dah, ..hiyo imetulia kweli mzee wangu. Ni kweli "mapenzi ya mungu" ni term ya consolation! "In life you can either agree on everything, or Doubt everything ...Both saves you from thinking!" ...ndiyo maana mambo yetu mengi tu Bongo yamekuwa kwa "Mapenzi ya Mungu!".
Naam, tupo pamoja, ni maoni yangu tu kutokana na muonekano wa mambo yalivyo. Si unajua; a conclussion is simply the place where you get tired of thinking!? ndipo nilipoishia leo. ...Usiku mwema wakuu.
Marehemu alikuwa aki sponsor watoto 10 Yatima ktk elimu zao na maisha yao. Je, jukumu hilo kalichukua nani?... Mkapanjia au EN!
Hujatenda haki kuchanganya hizi mada mbili tofauti. humu kuna matusi kwa Amina akiwa hai hilo halileti picha nzuri.
Nakubaliana na mtalii, kuendelea kuchangia katika thread hii ni kusuta usaliti wetu ambao wengi wana hatia humu kwa kukimbilia kumhukumu Amina kwa kutumia prjudices zetu dhidi yake...
Tanzanianjema
Tanzania Njema.
Hata mtililiko wa mada umevurugwa heading inasema Kashfa Nzito kwa Chifupa na Zito. jee Zitto kafanya kitendo cha kashfa na maiti au marehemu? kichwa cha habari hakimvutii mtu mgeni JF kuisoma. pili itampa taabu msomaji mgeni kuelewa somo lilivyounganishwa.
Adm.
Naona umevurunda sana. kichwa cha habari hakiko sawa na kuna maneno mtu unaweza kuyasema akiwa hai na mara akifa huwezi kuyasema. mtoto wa Amina au kaka yake au mdogo wake apite JF katika kipindi hiki akute kichwa cha habari hapo juu " Kashfa nzito Amina na Zito" watajisikiaje? hatuwatendei haki ndugu wa Amina, marafiki na wapenzi.
Naomba irudishwe kama mwanzo au ifungwe, heading yake haiuwiani na maudhui ya michango ya huku mbeleni. sisi sote tutakufa si vizuri kuwabeza maiti.
Mtalii,
Unajua hizi njama za Mafia yenu haziwezi kufanya kazi kwangu. Niko hatua moja mbele yenu na hiyo issue ya Zitto hainisumbui kabisa!.... Chadema imewakalia kooni sana mjomba...kiasi kwamba mnashindwa hata kufikiri.
Nitakwambia kitu kimoja uncle matusi yote mnayomrushia Zitto yanazidi kumsumbua marehemu kwa sababu tamko lenu lina mhukumu zaidi marehemu.
Nitakubali maneno yenu ikiwa mtakuwa wazi na kusema Marehemu alikuwa mzinifu na ndio kumemponza!...hapa sintatafuta jibu zaidi.