- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
Nilisikia siku za nyuma kuwa hata yule jamaa wa Benki kuu aliyeandikwa kuwa anahonga gari nyekundu kwa kila msichana anayempitia, naye alikula. Twafa!!
You must be kidding! Otherwise foleni ina wengi basi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisikia siku za nyuma kuwa hata yule jamaa wa Benki kuu aliyeandikwa kuwa anahonga gari nyekundu kwa kila msichana anayempitia, naye alikula. Twafa!!
Hizi mimi naona ni tuhuma sababu habari niliyoisoma hapa sijaoneka uthibitisho wa tuhuma hizo.
unajua kwa kumbu kumbu zangu wakati Amina anaolewa na huyu jamaa, amina kwanza alikuwa mdogo, pili uwezo wa kifedha wa bwana inaweza kuwa ndio chanzo cha ndoa yao. Hivyo kama tuhuma hizi ni za kweli kwa mtu anayetafakari hawezi kushangaa.
bali inawezekana baada ya kukomaa kiakili na kuimarika kiuchumi huyu binti sasa amenza kufanya maamuzi ya kimapenzi na sio msukumo wa fedha au udogo.
Ndoa ya hawa jamaa ni mkataba baina ya huyu binti na huyu mume wake, sasa kama huyu binti kakiuka mkataba, huyu bwana anapashwa kumshitaki mke wake kwa spika na sio huyu aliyemsaidia kazi yake. Maana huwezi kumshitaki mtu ambaye hayuko katika mkataba kuwa kavunja mkataba.
MAPENZI SI JAZIBA WALA HAYANUNULIWI KAMA NDOA IMEGOMA MNAACHANA KWA VIZURI KILA MMOJA ANAENDA KUJARIBU KILE ATACHOONA KINAFAA.
3. Wale waliokuwa wakimlinganisha Chifupa na Mbowe sijui wana maoni gani kwa kweli. Tupo tulioeleza toka mwanzo kwamba huyu Amina Chifupa hakuwa na background ya ku-serve ktk bunge la Jamhuri. Hapa sizungumzii suala la maadili tu, bali hata uwezo wa kujenga na kupambanua hoja.
lolote litakalo mtokea AMINA CHIFUPA basi huyo Nchimbi ajue kuwa DUNIA ni ndogo
HIVI KWELI HAWA WATU WATAENDELEA kutuvuruga mpaka lini?
Kama kweli mh. Zitto kale uroda wa huyu bibie, it is a big shame to himself and to my party. Nampa pole na kumtakia uponyaji wa haraka ili asimame tuendelee kukijenga chama chetu. Sio kwamba kula uroda ni kitu kibaya; kibaya hapa ni kula uroda wa mke wa mtu. Mbaya zaidi mke mwenyewe ni Amina Chifupa ambaye maadili yake ni questionable for ages.
Ukishakuwa mwanasiasa unayeng'ara lazima uwe makini sana. Ujue kuna watu watafurahia mafanikio yako na kuna wengine hawatafurahia tu bali pia watakuchukia na kufanya kila hila ili kukumaliza kisiasa. Hii ni hasa katika nchi kama za kwetu ambazo bado zimekaa kikomunisti komunisti. Sasa Zitto hata kama kweli hajamla uroda huyu binti alipaswa kujua kuwa kuwa naye karibu kiurafiki ingempeleka pabaya. Ni rahisi wote wawili kukanusha, lakini the damage has been done and it should have been possible to prevent it.
Sasa kinachotakiwa hapa kama kweli kosa hili limetokea ni Zitto kukiri na kuomba msamaha kwa Bwana Mpakanjia, kwa mke wake na kwa CHADEMA. Then asimame tuendelee na mapambano. Hakuna njia nyingine ya uponyaji hapa zaidi ya yeye kukiri na kuomba msamaha hadharani!
Zitto amekuwa mtu wa madili kwa muda mrefu sana. Nitasikitika kama kweli atakuwa amefikia hatua ya kuporomoka kimaadili kwa muda mfupi namna hii tangu awe mbunge.
Nasubiri kusikia kwake.
Originally posted by samvulachole:
KWANI SIFA HIZO NI ZIPI? AU NDIO MNAANZA NA CHARACTER ASSASSINATIONS? MAANA KAMA CHIFUPA HAFAI HAO WENGINE WANAFAA?
ACHA HIZO