KASHFA: Polisi wa Buguruni Dar, wadaiwa kudhulumu kilo 800 za nyama na kugawana

Lile sakata la wafanya biashara wa nyama kuporwa nyama zao kihuni kule buguruni!

Polisi litawapeleka pabaya!

Magufuli akisikia atasafisha kituo kizima warudi mtaani kuchoma mishikaki!

Ukiachana na kesi ya nyama yenyewe, kitendo cha polisi kutuhumiwa kuiba na kugawana nyama hilo peke yake linawaondolea sifa ya kuwa watumishi wa uma wenye mamlaka ya kusimamia usalama wa raia na Mali zao!

Kama halijafika kwa magufuli, Polisi makao makuu fukuzeni hao vijana walioshiriki kufanya uhuni huo kinyume na P.G.O inavyoelekeza!

Uzuri wa magufuli hapendi kulemba mambo meupe kama haya!
 
sawa, endelea kwwenda polepole peke yako , si na mimi. maana eleimu yako ndogo tu ya Tengeru tayari ushajua wakurugenzi wote na nmna makaimu wanavyoteuliwa kwa kubebwa. Endelea na mwendo wako
Nagutombele nokho nashik'aha?
 
Kwani anaishi angani? tafuteni kwake kisha mmwagieni kinyesi cha binadamu tena uharo. atajirekebisha tu
 
Ni upuuzi kusubiri kuitwa shujaa kwa kuzima moto ulio uwasha mwenyewe
 
Safi sana lete story mkuu
 
Kuna bodi ya maziwa pia, nchi hii ni tatizo, bodi kila kona hatuoni wanachokifanya zaidi ya hizi comedy, na serikali haiwezi kuziendesha sababu ya ufinyu wa rasilimali fedha basi wanataka kujiendesha kwa gharama zao kutupiwa mfanyabiashara.
 
Kwani anaishi angani? tafuteni kwake kisha mmwagieni kinyesi cha binadamu tena uharo. atajirekebisha tu
Huyo jamaa inaonyesha anaroho mbaya sana hata hicho Kinyesi kinaweza kukataa kukataa kumwagikia kwa hofu ya kupanda najisi
 
Mijaaa mijizi kishenzi apo nyama tu inayooza mnaiba kweli?IGP simamisha kazi wote hao na hamishia nanjilinji wote hao wakale nyama za fisi huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…