Mie nadhani wako ndio uliolala, Igunga kuna limwa nini inahusiana nini na vitunguu vya bandarini? halafu kuna kosa lipi kuagiza vitunguu saumu kutoka nje? mradi vitengo vya afya viruhusu, sioni uhusiano wa biashara na Igunga na Bandarini. Nadhani mpaka sasa utajuwa ni ubongo wa nani uliokufa. Nakupa pole sana.
Mie nadhani wako ndio uliolala, Igunga kuna limwa nini inahusiana nini na vitunguu vya bandarini? halafu kuna kosa lipi kuagiza vitunguu saumu kutoka nje? mradi vitengo vya afya viruhusu, sioni uhusiano wa biashara na Igunga na Bandarini. Nadhani mpaka sasa utajuwa ni ubongo wa nani uliokufa. Nakupa pole sana.
Watu wengine wanajaribu kutenganisha yanayotokea kwenye ufisadi na matokeo yake kwa maisha ya wananchi. Kwamba kwa kuagiza au kuruhusu vitunguu saumu tunaua biashara yetu ya ndani sisi wenyewe na kuendelea kuwasukumiza watu kwenye kona ya umaskini wa kudumu.
Nna uhakika hujawahi kufanya biashara wala huielewi biashara, kuagiza biashara za nje hakuuwi biashara ya ndani bali kunasaidia kuikuza. Amma kwa kuweza kuonesha ubora wa bidhaa zetu amma udhaifu wa bidhaa zetu na kuchukua njia mbadala wa amma kuboresha bidhaa zetu amma kuziuza kwa ubora wake unaostahiki, mashindano ya kibiashara ndio njia pekee ya kukuza biashara, uelewa, elimu, viwango na hata "presentation" ya bidhaa. Na ikiwa tutaendelea kuogopa kuleta bidhaa za nje basi tukubali na matokeo ya kuzifunga fikra zetu na ziedendelee kuwa pevu kama tunavyofikiri. Au tukubali kuwa na fikra changa zenye uwezo wa kufikiri mapya kwa kujifunza mapya mengi kutoka kwa wenzetu waliokubali kuwa hakuna fikra pevu utakayoifundisha ikaelewa (try to teach an old dog new tricks). Kuwa na fikra pevu ni ufinyu wa kufikiri.
Leo kweli mtu haswa mwenye fikra za kimaendeleo anakwambia usiagize bidhaa za nje kwani zinauwa biashara yetu ya ndani? Inashangaza sana.
Halafu uhusishe mambo kibao na uagizaji wa vitunguu?
Hivi huwa unatafuta njia za kupakaza kila unapoweza au ndio upevu wa fikra zako umefikia ukomo wa kufikiri?
Umekuja na habari nzuri sana para ya kwanza, kama ni ya kweli, halafu para ya mwisho ukamwaga pumba kama kawaida yako. Unanshangaza kwa kuiharibu habari kwa maswali yasiyo na msingi.
Umeanza vizuri lakini mwishoni umeingiza upupu. Inaelekea hata habari yenyewe ni ya kutunga tu.
mwita 25 mambo vp wangu?
Jiuzulu uwe mjasiriamali hii kazi huiwezi tena FF Pole.
Ujasiriamli niliuvuka zamani sana, mimi ni mfanya biashara za kimataifa, nna nunua pamba ya Tanzania, nnaipeleka India inafumwa vitambaa, nnavipeleka Mauritius vinatengenezwa nguo za kuwauzia wenye fedha za kununuwa majina, nembo ya wateja wangu inaitwa "Cotton Club", wakisha zivaa wanazileta Tanzania kama mitumba na kuwaacha Watanzania wakizigombania na kujisifia kuwa wamevaa "designer".
Jee, wewe?
unafikiria kwa kutumia nn??
Pumzika we kikongwe usiyechoka kulumbana, umri ulionao ukiendelea kubishana na vijana wa jf utajifia siku sio zako, huku hakuna wazee wenzio! Khaa Nape kweli hana hata huruma, anawapa kazi mpaka wabibi kama wewe?.. Ungeutumia ujana wako vizuri sahizi ungekuwa umejipumzikia zako unajilia mafao taratiibu...ona sasa unavyohangaika kisa ujira wa sh elfu mbili kwa siku... Kalee wajukuu zako bana!
Upo juu kama u own that label....nazionaga Slipway not sure if its the same cotton club
Back to topic: kama kweli vitunguu saumu vimeexpire basi havina budi kurudishwa, sisi sio dampo!
Nna uhakika hujawahi kufanya biashara wala huielewi biashara, kuagiza biashara za nje hakuuwi biashara ya ndani bali kunasaidia kuikuza. Amma kwa kuweza kuonesha ubora wa bidhaa zetu amma udhaifu wa bidhaa zetu na kuchukua njia mbadala wa amma kuboresha bidhaa zetu amma kuziuza kwa ubora wake unaostahiki, mashindano ya kibiashara ndio njia pekee ya kukuza biashara, uelewa, elimu, viwango na hata "presentation" ya bidhaa. Na ikiwa tutaendelea kuogopa kuleta bidhaa za nje basi tukubali na matokeo ya kuzifunga fikra zetu na ziendelee kuwa pevu kama tunavyofikiri. Au tukubali kuwa na fikra changa zenye uwezo wa kufikiri mapya kwa kujifunza mapya mengi kutoka kwa wenzetu waliokubali kuwa hakuna fikra pevu utakayoifundisha ikaelewa (try to teach an old dog new tricks). Kuwa na fikra pevu ni ufinyu wa kufikiri.
Leo kweli mtu haswa mwenye fikra za kimaendeleo anakwambia usiagize bidhaa za nje kwani zinauwa biashara yetu ya ndani? Inashangaza sana.
Halafu uhusishe mambo kibao na uagizaji wa vitunguu?
Hivi huwa unatafuta njia za kupakaza kila unapoweza au ndio upevu wa fikra zako umefikia ukomo wa kufikiri?
sawa FF,
Ndio tuletewe vilivyooza? Kwahiyo watanzania tujipime na vilivyooza? Wewe magamba yako hayawezi kuvuka labda kwa kutumia shoka la umsolopagazi