Kashfa ya Kontena la Vitunguu Saumu kutoka China: Badala ya kuchomwa vinarudishwa upya!


Kwa sasa jamaa anasabahi mgonjwa ambaye nimuajiriwa wa serikali kupitia Orijino Komedi(Vengu)

 
Mimi bado napata shida kuamini kwamba nchi yetu pamoja na kuwa kilimo ndiyo main acativity bado eti tunaagiza vitunguu, kuku , maziwa, juices you name it!!!!!!! Where the hell is kilimo kwanza???? Besides ina maana hapa Africa kutuzunguka hakuna kabisa hivyo vitunguu saumu? Kuna sigara mpaka zinatoka China na kuletwa Tanzania.....Hii yote ni kwa sababu ya kutaka urahisi rahisi na tamaa ya wanaoitwa wafanyabiashara.
 
THE Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) has seized and ordered for immediate deportation of 29 tonnes of garlic imported from China feared to be unfit for human consumption.

The consignment, estimated at the value of about 2000 US Dollars (about 4.5m/-)

Imported garlic, according to him, is now sold at 7,000/- per kilogram which is equivalent to 7m/- per tonne.


Halafu na hawa Daily news vipi? Wanasema 1kg = Tshs 7000/=, Contena lillokamatwa lina 29Tons = 29,000Kgs, gharama halisi kwa mchakato huo ni Tshs 203,000,000. (Milioni mia mbili na tatu) sasa hii hesabu wanaitoa wapi? "The consignment, estimated at the value of about 2000 US Dollars (about 4.5m/-)"
 
Yaelekea Membe anawanyima usingizi kupita kiasi maana kila kitu Membe Membe.....br careful here,, unaweza ukanuwia kumfedhehesha mtu,lakini ikawa kinyume chake.....unamjengea heshima. Ni mtazamo tu
Membe ameingiaje katika hii habari ya vitunguu saumu? Ndiye importer? Kuwa muwazi.
 

Watajitetea mwandishi wa habari hajui hesabu vizuri
 
upo sahihi lakini tuangalie na bidhaa tunazoagiza, kwa upo wa kawaida tuu hili ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…