Kashfa ya makontena TRA tena: Ni ya Silent Ocean

Kashfa ya makontena TRA tena: Ni ya Silent Ocean

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa na kitengo cha "Fast Team" cha TRA zikiwa na bidhaa mbalimbali za vipuri vya magari, viatu vya ngozi na nguo za kifahari...

Hivi bado watu wanaendelea na hii michezo?? Hawaoni juhudi za Rais wetu na namna alivyo serious na mapato hasa bandarini?

Ipo kila sababu ya kumuunga mkono Rais wetu katika kuyakabili mambo kama haya.. Waliohusika waadhibiwe tu..maana hakuna namna!
Si walisema DP wakipewa kodi hazikwepeki. Nini hii sasa kama sio tumepigwa tu. Hskuna cha uwekezaji hao waarabu wanakula tu uwekezaji wa umma wa watanzania.
 
Si walisema DP akishakuwa pale hamna tena haya mapicha picha??
 
Mwenye kampuni ni CCM na ndio hao wanaitwa "wadhamini" wa chama.
 
Si walisema DP wakipewa kodi hazikwepeki. Nini hii sasa kama sio tumepigwa tu. Hskuna cha uwekezaji hao waarabu wanakula tu uwekezaji wa umma wa watanzania.
Umesoma hii habari ni ya lini?
Umelewa ama?
 
Back
Top Bottom