Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

Ahsante kwa taarifa,kura yangu kwa magufuli
 
Hata sijaelewa huyu lowasa aliye jiuzulu 2007 Ni yupi hapa utakua unamzungumzia WA kichina WA tz aliachia madaraka 2008
 
To be honest MTU yeyote anayetamani ccm iendelee kuwa namuona hajielewi na asitulalamikie maisha magumu miaka mia mingine
 
hata mtuchape fimbo kutudanganya safarihii hatudanyanyiki tena hata angeingia na richimond 30 nizake lakini lazima ashinde urahic octobar penda mcpende
 
'' Mchakato huo ulioibua Richmond kutoka kusikojulikana, ulisimamiwa kwa nguvu zote na Lowassa mwenyewe.''

Hii imekaaje wadau..?
:lol:
 
'' Mchakato huo ulioibua Richmond kutoka kusikojulikana, ulisimamiwa kwa nguvu zote na Lowassa mwenyewe.''

Hii imekaaje wadau..?
:lol:
Haina shida hiyo tulishasahau huyu jamaa amejisafisha baada ya kutoka kwenye rangi ya kijani, October kichapo kipo pale pale.
 
Mmeshaambiwa mwenye ushaidi atangulie mahakamani tumeshachoka na maneno yasiyo na ushaidi ,nchi hii ina polisi,TAKUKURU UWTnk tangu2008 mnashindwa nn kumpandisha kizimbani? LOWASA ndiye raisi wangu mtarajiwa
 
Siwaelewi hata mje na Nyerere, Lowassa ndiye rais hakuna mwingine.
 
oesa kweli sabuni ya roho, yani kuna watu wanataka huyu apewe nchi
 
Mmeshaambiwa mwenye ushaidi atangulie mahakamani tumeshachoka na maneno yasiyo na ushaidi ,nchi hii ina polisi,TAKUKURU UWTnk tangu2008 mnashindwa nn kumpandisha kizimbani? LOWASA ndiye raisi wangu mtarajiwa

Alitokewa na malaika na kumwambia mamlaka za juu zimeagiza!!!teh teh teh
 
oesa kweki sabuni ya roho, yani kuna watu wanataka huyu apewe nchi

Ikija ishu ya Rwanda tena ama ile ya ziwa Nyasa kama mwaka jana naamini tutaingia vitani chini ya Lowassa, huyu jamaa hana busara na ana ubabe sana, hajuhi compromise wala reconciliation, hatuwezi, we can't afford to have a such president. Hajiheshimu na anatawaliwa na mihemko mno na jazba, ni kama mwanamke mja mzito, ana presha sana na mtu ambaye hawezj kucontain presha hafai kuwa kiongozi, kwasababu atakuwa anarespond si kwa fikra bali kwa presha anayoipata na akikutana na wahuni wakamwambia piga huyo, yeye ataliga bila kuhesabu cost za kupiga ..Lowassa type.
 

Wanajiandaa kama alivyokaa kimya akumbuke wenziwe wa awali wanajipanga,Ngoja tujionee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…