Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau kumpa na saburiAhsante kwa taarifa,kura yangu kwa magufuli
Haina shida hiyo tulishasahau huyu jamaa amejisafisha baada ya kutoka kwenye rangi ya kijani, October kichapo kipo pale pale.'' Mchakato huo ulioibua Richmond kutoka kusikojulikana, ulisimamiwa kwa nguvu zote na Lowassa mwenyewe.''
Hii imekaaje wadau..?:lol:
Siwaelewi hata mje na Nyerere, Lowassa ndiye rais hakuna mwingine.
Mmeshaambiwa mwenye ushaidi atangulie mahakamani tumeshachoka na maneno yasiyo na ushaidi ,nchi hii ina polisi,TAKUKURU UWTnk tangu2008 mnashindwa nn kumpandisha kizimbani? LOWASA ndiye raisi wangu mtarajiwa
oesa kweki sabuni ya roho, yani kuna watu wanataka huyu apewe nchi
Umenikumbusha zamani sana.
Tulipewa makokwa ya maembe tukiwa wadogo ili kila mmoja akapande, sasa mimi ya kwangu nikapanda moja lingine nikalisahau kulipanda. Nilikuja kushtuka baada ya miaka zaidi ya sita wakati mingine imeshaanza kuzaa kuwa sikulipanda na nilipokwenda kuipanda ikaota vizuri tu na sasa tunakula maembe.
Nilichojifunza ni kuwa mbegu ni sawa na ukweli kwamba hata ukiuhifadhi na kuusema baada ya karne unakuwa uko vile vile. Ni kama mtu aliyejifunza 1+1=2 miaka mia moja iliyopita hata atakaye solve hiyo hesabu leo italeta jibu hilo hilo.
Cha msingi aliowataja wakanushe, kwa vile ni swala la aibu kukaa kimya kunaweza kumaanisha kukubali.