Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
MwanaCCM mwenzenu huyu.Shemeji yenu huyo tumbili!

Hahahaaa......... Nadhani ni kwa ajili ya matunzo ya Jesca hapo Ufipa michango mingi!MwanaCCM mwenzenu huyu.
Oh.. Aseh hatari, kama ni kweli basi kazi hpo, rushwa ni adui wa haki, JPM akijiridhisha atamtumbua.
Naona wenye ccm yao wameanza kumuundia zengwe Kafulila.!
Usiusemee Moyo, Tujipe Muda Ili Magugu Na Ngano Yamee Halafu Yaonekane Kwa UrahisiHivi kafulila kwa njaa zile alizopitia anaweza kweli akafanya ujinga huu?
Wakuu,
Wafanyabiashara Mkoa wa Mbeya na Songwe wailalamikia ofisi ya RAS Songwe na moja kwa moja wanamtupia lawama Katibu Tawala Mkoa huo Kafulila kwamba amekuwa akiwaomba Rushwa endapo ukikataa basi kama ulikuwa mzabuni unanyang’anywa tenda.
Inadaiwa hivi Karibuni, Serikali walitangaza Zabuni kusambaza Dawa katika Mikoa mbalimbali nchini mbadala wa MSD na Zabuni ikashindanishwa Team ya wataalam kutoka Tamisemi pamoja Mkoa wa Songwe ikawapitisha washindi.
Lakini baada ya mwaka 1, Bwana Kafulila ameanza kuwatisha wafanyabiashara walioshinda na kuomba rushwa ili kutositisha mkataba ambao huchukua miaka 3
Inadaiwa kwamba Kafulila amegombana na Team ya wataalamu akiwepo Mfamasia na baadhi ya wajumbe na amekuwa akishirikiana na Katibu wa Afya Mkoa Dada Hobokela.
Kuna madai kuwa RAS amepewa kiasi cha Fedha kutoka kwa Mfanyabiashara anayefahamika kwa jina la Babito anayemiliki hotel za Beaco jijijni Mbeya, amekuwa akifukuza watumishi na wengine kuwahamisha kinyume cha utaratibu.
TAKUKURU fanyieni kazi habari hizi ili ukweli ujulikane.
Watu wa Mbeya kwa majungu na fitina nani asiye wajua mpaka Mkoa wa Mbeya kwa sababu ya Umbeya wenu acheni ubinafsi mtu akija mgeni mnapenda kumfitinisha .Punguzeni ukabila nyieWakuu,
Wafanyabiashara Mkoa wa Mbeya na Songwe wailalamikia ofisi ya RAS Songwe na moja kwa moja wanamtupia lawama Katibu Tawala Mkoa huo Kafulila kwamba amekuwa akiwaomba Rushwa endapo ukikataa basi kama ulikuwa mzabuni unanyang’anywa tenda.
Inadaiwa hivi Karibuni, Serikali walitangaza Zabuni kusambaza Dawa katika Mikoa mbalimbali nchini mbadala wa MSD na Zabuni ikashindanishwa Team ya wataalam kutoka Tamisemi pamoja Mkoa wa Songwe ikawapitisha washindi.
Lakini baada ya mwaka 1, Bwana Kafulila ameanza kuwatisha wafanyabiashara walioshinda na kuomba rushwa ili kutositisha mkataba ambao huchukua miaka 3
Inadaiwa kwamba Kafulila amegombana na Team ya wataalamu akiwepo Mfamasia na baadhi ya wajumbe na amekuwa akishirikiana na Katibu wa Afya Mkoa Dada Hobokela.
Kuna madai kuwa RAS amepewa kiasi cha Fedha kutoka kwa Mfanyabiashara anayefahamika kwa jina la Babito anayemiliki hotel za Beaco jijijni Mbeya, amekuwa akifukuza watumishi na wengine kuwahamisha kinyume cha utaratibu.
TAKUKURU fanyieni kazi habari hizi ili ukweli ujulikane.
Hakun jipya si ameshahamia CCM, akili kaziacha CHADEMA
Shemeji wa nani? Unamaanisha nini?Shemeji yenu huyo tumbili!