Kashfa ya Rushwa: David Kafulila alalamikiwa na Wazabuni kwa TAKUKURU

kama wateule waweza kula rushwa basi wangeanzia HAI yule aliye tuhumiwa kufanya hivyo.
 
Naona Sungura Ameanza Mchakato Wa Kumfukuza Simba!
Mwindaji Anapowindwa!
Mawindo Yamegeuka, Tumbiri Kaa Chonjo
 
Kafulila yule yule alohama nccr to chadema to ccm
 
Hii imekaa kichimvi chimvi hivi, yaweza kuwa Kafulilila na Dada Hobokela ndio wanasimamia sheria na sasa Wakuumia wanaumia.
 
Hivi kafulila kwa njaa zile alizopitia anaweza kweli akafanya ujinga huu?
 

Njaa mbaya sana!

Kafulila bana
 
Watu wa Mbeya kwa majungu na fitina nani asiye wajua mpaka Mkoa wa Mbeya kwa sababu ya Umbeya wenu acheni ubinafsi mtu akija mgeni mnapenda kumfitinisha .Punguzeni ukabila nyie
 
Huyu tumbili amekaa zoo akanunuliwa hajatosheka na pesa ya mnunuzi sasa ameanza kula mahindi eee?! Acha yamkute ukiuza utu wako lazima uwe dhaifu kila nyanja.
 
Ccm watu kama hawa wala rushwaa ndo tunawaenda usishangae akapandishwa cheo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…