Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unashindwa kujenga mantiki yako. Bunge lenyewe la ulaya limesema kuwa litashirikiana na wachunguzi wa Kashifa hiyo. Sisi hapa mpaka leo zile Trilioni 1.5 zilizopotea enzi za mwendazake mpaka leo bunge limeshindwa kuzifuatilia.Sasa mkuu unakasirika nini? Mbona kosa alifanya Adam na Eva na wote tunakufa siku hizi na hatukuwepo?
Bora wao wanakamatana na kuchukuliwa hatua. Huku mmeletewa mabewa ya WWII 2.2b mnawapigia makofi?Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU
View attachment 2443857
Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
Sielewi kwa nini huelewi- unamaanisha kusema hiyo kashfa ni ya uongo? Kuhusu suala la 1.5 hapa Tanzania, kwa taarifa bunge lilihoji na serikali ikatoa majibu-ama ulikubaliana na majibu ya serikali au hapana huo ni ujinga na uamuzi wako.Bado unashindwa kujenga mantiki yako. Bunge lenyewe la ulaya limesema kuwa litashirikiana na wachunguzi wa Kashifa hiyo. Sisi hapa mpaka leo zile Trilioni 1.5 zilizopotea enzi za mwendazake mpaka leo bunge limeshindwa kuzifuatilia.
Yaani wewe unashangaa rushwa ya ulaya? unafikiri duniqni Kuna maraika?Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU
View attachment 2443857
Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
Mimi mtu akituhumiwa tu- sikai nae. Kwa CHADEM,A wanavyojitanabaisha kuwa wasafi hii kashfa haiwaaich salama na wao ni yaleyaleYaani wewe unashangaa rushwa ya ulaya?unafikiri duniqni Kuna maraika?
Uzuri kwa wenzetu Wala Rushwa wanakamatwa na kufunguliwa mashitaka,huku kwetu Wala rushwa,wapo Ikulu,wanateuliwa,na kuhamishwa vitengo tu,
Chadema imeenda kwa wanaofata sheria,haijalishi nafasi ya mtu,ukila Rushwa,Sheria inaruka na wewe!!huku kwetu,Mama mwizi,Wajomba wezi,wapwa ndio usiseme,vibaka waliokubuhuuu,hata wa kukamata hakuna,maana hata hao polisi ni majambazi yenye ruhusa ya kubeba siraha!!
Huwa sielewi ni kwa nini CCM hawaoni utofauti wetu na hao jamaa wa ulaya. Eva kaili ni miongoni mwa Makamu wa Rais 16 wa Bunge la Ulaya lakini amekamatwa. Leo hapa kwetu kuna mamlaka ama mtu mwenye ubavu wa kumkamata Spika au Naibu spika wa Bunge!??Bora wao wanakamatana na kuchukuliwa hatua. Huku mmeletewa mabewa ya WWII 2.2b mnawapigia makofi?
Sasa ao sio watuhumiwa ao ni washukiwa mkuu rekebisha post yako.Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU
View attachment 2443857
Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
Bunge lenye wabunge 705 anakamatwa mbunge mmoja "akishukiwa" au "kutuhumiwa" kwa rushwa mtu anaanzisha mada ili mradi aitaje CHADEMA.Sasa ao sio watuhumiwa ao ni washukiwa mkuu rekebisha post yako.
maana kama sababu ya kupewa rushwa haijulikani basi ao ni washukiwa tu
Umesahau Mramba, Yona, na Mbowe walifungwa halafu unasema hapa hatua hazichukuliwi- Utakuwa ulikuwa mweziniHuwa sielewi ni kwa nini CCM hawaoni utofauti wetu na hao jamaa wa ulaya. Eva kaili ni miongoni mwa Makamu wa Rais 16 wa Bunge la Ulaya lakini amekamatwa. Leo hapa kwetu kuna mamlaka ama mtu mwenye ubavu wa kumkamata Spika au Naibu spika wa Bunge!??
kabisa mkuu hawa watu wanaleta siasa zao za miaka ya 80 wanadhani watu wanapangwa kwa maneno tu wanatuliaBunge lenye wabunge 705 anakamatwa mbunge mmoja "akishukiwa" au "kutuhumiwa" kwa rushwa mtu anaanzisha mada ili mradi aitaje CHADEMA.
Huu ni umakamba wa hali ya juu sana toka chama cha mambuzi!!
Wewe jamaa unatoa mfano ya kulipiziana visasi. Sisi tunataka kuwe na mfumo unaofanya kazi bila ya kusubiri maelekezo toka kwa wanasiasa wanaotumia mifumo ya nchi yetu kulipizana visasi.Umesahau Mraba, Yona, na Mbowe walifungwa halafu unasema hapa hatua hazichukuliwi- Utakuwa ulikuwa mwezini
Wenye bunge wanaona ni kashfa kubwa wewe chawa unaona siyo shidakabisa mkuu hawa watu wanaleta siasa zao za miaka ya 80 wanadhani watu wanapangwa kwa maneno tu wanatulia
Wewe acha ukabila- kwa hiyo kesi ya Sabaya nayo ni kisasi?Wewe jamaa unatoa mfano ya kulipiziana visasi. Sisi tunataka kuwe na mfumo unaofanya kazi bila ya kusubiri maelekezo toka kwa wanasiasa wanaotumia mifumo ya nchi yetu kulipizana visasi.
EU ni miongoni kwa waliotukopesha millions of USD,tukatae hela zao sababu ya watubumiwa wachache?Mimi mtu akituhumiwa tu- sikai nae. Kwa CHADEM,A wanavyojitanabaisha kuwa wasafi hii kashfa haiwaaich salama na wao ni yaleyale
CCM imewahi kukamata wabunge na mawaziri wangapi wala rushwa?Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU.
View attachment 2443857
Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
utakuwa na upungufu wa kumbukumbuCCM imewahi kukamata wabunge na mawaziri wangapi wala rushwa?
Najua haijawahi na haitawahi. Maana wakisema wakamate mawaziri wala rushwa, hatutakuwa na Waziri mkuu wala waziri yeyote.
Wakisema wakamate wabunge wala rushwa na watoa rushwa, hatutakuwa na mbunge hata mmoja wa CCM.
Wakisema wakamate maDC na maRC, na makamanda wa Polisi wala rushwa, nchi haitakuwa na DC, RC wala kamanda wa polisi.
Hongera sana wazungu, kwa kiwango kikubwa cha maendeleo , ustaarabu na utawala bora mlioufikia. Maana mhalifu anakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya kikatiba.
Huku kwetu, wala rushwa wanashangiliwa na kupambwa na sifa za kila aina. Imelaaniwa nchi yangu maana anayetakiwa kuwa mstari wa mbele kupambana na maovu, mara nyingi yeye mwenyewe huwa ndiye mwovu mkubwa.