Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

Kashfa ya rushwa kwenye Bunge la Ulaya na marafiki wa CHADEMA

utakuwa na upungufu wa kumbukumbu
1. Kange Lugora aliwahi kukamatwa kwa tuhuma za rushwa kwa kukumpa
2. WABUNGE wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Arusha, wametiwa mbaroni na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa katika uchaguzi wa chama hicho. Taarifa ya Takukuru, iliwataja wabunge hao kuwa ni Elisa Mollel (Arumeru Magharibi) na Michael Lekule Laizer (Longido), na kwamba wanaendelea kuhojiwa, ili ikithibitika kuwa wanahusika na tuhuma hizo, hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao. mmoja
Maaafii 😂😂, hakuna kitu mzee wala hutosikia tena hayo madai na wahusika utawaona mtaani wanaendelea kula inji hii!! Ishu ya lugola achana nayo kbs itakutia ujinga zaid mzee, iliishia cku ileile na yupo anapeta kama kawaida!! Bora unge realize tu kwamba nchi yetu na utawala wake hauna nia ya kuwashughulikia mafisadi!!
 
Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU.
View attachment 2443857
Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
Chama cha mambuzi haha mnahabgaika sana na chadema
 
Kukuuliza iliishia wapi ni swali la kijinga?. Wewe sio mzima. Yani mtuhimiwa wa rushwa kangi lugola kawa waziri.
Ni la kijinga kwa sababu ilipelekwa mahakami kwenye duo process ikaisha ilivyoisha kwa mjibu wa sheria ndani ya utawala washeria. Sasa wewe unauliza swali la kijinga kana kwanza unawaza tu bila kufikiri.
 
Sielewi kwa nini huelewi- unamaanisha kusema hiyo kashfa ni ya uongo? Kuhusu suala la 1.5 hapa Tanzania, kwa taarifa bunge lilihoji na serikali ikatoa majibu-ama ulikubaliana na majibu ya serikali au hapana huo ni ujinga na uamuzi wako.
Kuhusu mabehewa chakavu kwa Bei ya kuruka bunge limefanya nini?
 
Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU.
View attachment 2443857
Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
Kuanzia tupate uhuru mpaka leo ni miaka 61 bado tunashindwa kujenga vyoo, kupata huduma bora za afya huku ufisadi ukiwa umejaa tele. Sababu kubwa ya haya yote ni jamii kuwa na wajinga wakubwa kama wewe.
 
Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni wachafu kama CHADEMA TU.
View attachment 2443857
Mtuhumiwa mkuu ni Eva Kaili
Hivi vijana wa Lumumba hua mnatolewa akili ndo mnaajiriwa. Hivi unajua kua zaidi ya 30% ya bajeti yetu hela inatoka huko. Maccm mmeshindwa kusimamia nchi unakuja na kioja kama hiki. Hivi unajua kua Majizi yote ya ccm yanaficha hela ulaya?

Halàfu unakuja kuongea utumbo wako hapa
 
Back
Top Bottom