Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
m
imi nadhani inabigi tufikirie kwa kina sana au tutafute sababu za muhimu. january lashika hiyo nafasi kwamuda sasa, kwanini tatizo lipo sasa hivi?!? kama ni mla rushwa kiasi hicho tatizo si lingeanza alipoteuliwa??!!!??, nawaza nakosa majibu kumhusisha waziri na tatizo la kukatika umeme ilihali akina mharage wapo, hawaguswi hata kidogo. naona hizi ni zile siasa zetuuuuu!!!Sina udhibitisho Kama kipara Ole maropes anakula rushwa, Ila katika hili la uhaba wa mafuta na kukatikakatika kwa umeme Ni wazi huyu jamaa hii wizara imenishinda.
Kama Ni lazima awe waziri Basi mtafutieni hata wizara ya jinsia au tawala za machifu wa kimila. We can't go on like this. Akae pembeni asubiri urais anaoutaka 2025.