DOKEZO Kashfa ya Rushwa na Uhaba wa Mafuta: Hatma ya EWURA na Waagizaji wa Mafuta

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
m
imi nadhani inabigi tufikirie kwa kina sana au tutafute sababu za muhimu. january lashika hiyo nafasi kwamuda sasa, kwanini tatizo lipo sasa hivi?!? kama ni mla rushwa kiasi hicho tatizo si lingeanza alipoteuliwa??!!!??, nawaza nakosa majibu kumhusisha waziri na tatizo la kukatika umeme ilihali akina mharage wapo, hawaguswi hata kidogo. naona hizi ni zile siasa zetuuuuu!!!
 
Ila jamaa wanamiliki pesa nyingi aisee tena hawajazifanyia kazi, (mungu fundi) kila binadamu aliezaliwa na mwanamke lazima atakufa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…