vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa
2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia
Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge
Sakata la Ufisadi wa mabilioni ya pesa kupitia sukari ilibidi spika achague kutetea Ufisadi ili kulinda kiti chake
Hapa ndio amejimaliza kisiasa
Kabla ya sakata la Dp world na Ufisadi wa sukari alishafanikiwa ku outshine wapinzani wake ila hili la sukari litamuondoa
Spika amechafua sana hadhi ya bunge kusimama upande wa mafisadi na kumwinea mbunge mpina aliyeweka uharibifu hadharani