Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Hiyo ni maiti inatembea imeoza bado kunuka tu Maza fanta zake.Wenye viwanda wakapewa ruhusa ya kuingiza Sukari wakagoma, Serikali (waziri)ikapambana kwakutumia wafanya biashara mpaka Sasa Kuna unafuu kiasi.
Oneni hili litanzania .... Kwahiyo walipewa Vibali ,wakagoma ??.
Mamaee !!.
Unajua wenye Viwanda wandani waliomba Vibali lini??.
Vibali vikaja kutolewa lini??.
Na wakaleta kiasi gan??.
Mtu mjinga asiyena taarifa, akisoma ulichoandika, anakuamin.
Jipe Maarifa kabla ya kuongea uozo.
REDIO MBAOHii Nchi Kuna mambo yanatia hasira, yaani kweli muda mchache ulopita wananchi walikua wanahangaika na upatikanaji wa Sukari Kuna baadhi ya maeneo kilo ilifikia 10,000/=
Wenye viwanda wakapewa ruhusa ya kuingiza Sukari wakagoma, Serikali (waziri)ikapambana kwakutumia wafanya biashara mpaka Sasa Kuna unafuu kiasi.
Bado Kuna mtu (Mbunge) analalamika na kukusudia kwenda mahakamani kwakua utaratibu wa uagizaji haukufuatwa ivi inaingia akilini kweli!
Ayo yote Mbunge anayafanya kwa manufaa ya nani.
Yaani ameshasahau wakati akiwa waziri alikua akipima samaki wa ziwa Victoria kwa rula na kuchomea watu Nyavu, Mbona tuna sahau haraka?
Is not over.....Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa
2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia
Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge
Sakata la Ufisadi wa mabilioni ya pesa kupitia sukari ilibidi spika achague kutetea Ufisadi ili kulinda kiti chake
Hapa ndio amejimaliza kisiasa
Kabla ya sakata la Dp world na Ufisadi wa sukari alishafanikiwa ku outshine wapinzani wake ila hili la sukari litamuondoa
Spika amechafua sana hadhi ya bunge kusimama upande wa mafisadi na kumwinea mbunge mpina aliyeweka uharibifu hadharani
mimi nadhani wewe ndie Tulia uliyejibu hiviMkuu mtu anaweza kufikiri wewe ndiyo Mpina uliyeandika huu uzi!
Ndoto hizo.Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa
2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia
Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge
Sakata la Ufisadi wa mabilioni ya pesa kupitia sukari ilibidi spika achague kutetea Ufisadi ili kulinda kiti chake
Hapa ndio amejimaliza kisiasa
Kabla ya sakata la Dp world na Ufisadi wa sukari alishafanikiwa ku outshine wapinzani wake ila hili la sukari litamuondoa
Spika amechafua sana hadhi ya bunge kusimama upande wa mafisadi na kumwinea mbunge mpina aliyeweka uharibifu hadharani
Wenye viwanda wakapewa ruhusa ya kuingiza Sukari wakagoma, Serikali (waziri)ikapambana kwakutumia wafanya biashara mpaka Sasa Kuna unafuu kiasi.
Oneni hili litanzania .... Kwahiyo walipewa Vibali ,wakagoma ??.
Mamaee !!.
Unajua wenye Viwanda wandani waliomba Vibali lini??.
Vibali vikaja kutolewa lini??.
Na wakaleta kiasi gan??.
Mtu mjinga asiyena taarifa, akisoma ulichoandika, anakuamin.
Jipe Maarifa kabla ya kuongea uozo.
Wagumba huwa hasira na visasi sana.......Kile kinyang'unya hakiwezi kurudi tena bungeni labda kwa viti maalumu au kuteuliwa. Kina roho mbaya sana kama sura yake.
Na wewe utakuwa ni nani, Tulia?Mkuu mtu anaweza kufikiri wewe ndiyo Mpina uliyeandika huu uzi!
"MAITI" atawezaje kufanya hiyo kazi uliyo mhimiza aifanye?.Chukua clips za maelezo ya Bashe linganisha na maelezo ya Mpina ndiyo utaona kulivyo na hila za wazi na upigaji mkubwa nyuma ya sakata hili.