Kashfa ya utoroshaji wanyama pori iundwe tume huru ili ukweli ujulikane. Majibu ya Serikali hayana mashiko

Kashfa ya utoroshaji wanyama pori iundwe tume huru ili ukweli ujulikane. Majibu ya Serikali hayana mashiko

Nani Ataruhusu Tume
Unajua Ukweli Upo Bayana Tatizo Ni Hawa Hawa Ni Ile Ile
Kama Ni Biashara Iwekwe Bayana
 
Ndio maana nchi inahitaji katiba mpya itakayotupa taasisi imara na zenye kujitegemea, issue kama hii una uwezo wa kufungua docket police au kuwapa watch dog ili waichunguze, police wanakunyima haki yako au kukuonea unaenda kwa IPID unafungua mashitaka (hawa ni kama MPs wa jeshi na wana uwezo wa to arrest a member of police na kumfungulia mashitaka mahakamani)kwa sasa tuendelee kulalama humu JF
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Jinai haina mwisho
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Msemaji wa Serikali anabwabwaja tu.

Mara anasema madege ya warabu yanaleta watalii.

Mara tunasikia madege ya warabu yanaleta makontena.

Sasa mtalii anakuja na makontena ya nini?

Nchi inauzwa kwa waarabu.
Wewe malizia ugali dagaa ukalale
 
Msemaji wa Serikali anabwabwaja tu.

Mara anasema madege ya warabu yanaleta watalii.

Mara tunasikia madege ya warabu yanaleta makontena.

Sasa mtalii anakuja na makontena ya nini?

Nchi inauzwa kwa waarabu.
Tufanyeje? Hao wajomba zetu tu tuache fitina.
Mama kasema kula urefu wa kamba zako
 
Batter trade twiga 5 kwa hardtop moja
Hamna cha barter trade wala nini, mkataba uliingiwa mwaka 1992 kati ya Waarabu na serikali ya Mwinyi ..ili kusaidia vifaa vya kijeshi kwa taifa[emoji23] mengine hata siyajui[emoji23]
 
Mazingira yaliyozunguka hii issue yanaleta utata sana, vyema tume huru iundwe ukweli ujulikane, lakini kuzidi kukaa kimya au kuja na majibu yasiyojitosheleza, inaonesha kweli wanyama wetu wanapelekwa kwa wajomba zao.

Kutoa rasilimali za taifa letu kwa njia za panya ni sawa na uhaini, huu sio wizi wa kawaida, na serikali inapojaribu kuficha ukweli kuhusu hili suala ni jambo la ajabu zaidi, inaonesha vile viapo alivyokula akiingia madarakani hakumaanisha chochote...

Wapinzani wanaojitambua ni vyema wakalisukume hili suala kwenye mikutano ya siasa inayoanza hivi karibuni, kwasababu wale wapinzani maslahi tunaona wanavyokaa kimya kuzungumzia hili, wanaogopa kumkera mama yao wa kambo..
 
Hamna cha barter trade wala nini, mkataba uliingiwa mwaka 1992 kati ya Waarabu na serikali ya Mwinyi ..ili kusaidia vifaa vya kijeshi kwa taifa[emoji23] mengine hata siyajui[emoji23]
Hauna timeframe?
 
Tufanyeje? Hao wajomba zetu tu tuache fitina.
Mama kasema kula urefu wa kamba zako
Nchi hii ni ya watanzania wote!
Sio mali ya Samia!

Kwanza Samia kwao hakuna hata Twiga mmoja!

Anauza mali za watanganyika na kujengewa Dubai.

Yaani kuninginiza Picha ya Samia Ukutani Dubai ndio imetugharimu Wanyama wa kujaza lile Dege?
 
Back
Top Bottom