Kashfa ya utoroshaji wanyama pori iundwe tume huru ili ukweli ujulikane. Majibu ya Serikali hayana mashiko

Kashfa ya utoroshaji wanyama pori iundwe tume huru ili ukweli ujulikane. Majibu ya Serikali hayana mashiko

Kipindi cha nyuma huko, sio mbali sana, Mtumbuo -era, ilikuwa husikii tuunde tume wala kitu chochote kile kinachofanana nacho.

Sababu zipo lukuki tu, yaani paaaap au papo hapo tunasikia, nywii, majibu kwenye bajaji ya polisi...
...nafikiri
Ahaa ndio maana ma-rpcs' walikuwa na kazi sana ndio maana hata misafara mingine ilikuwa ni misururu! Yaani walikuwa wanategemea kubeba mtu machela kwa mitumbuo.

Anyway,

Nduguzanuni, sasa tunaomba tume huru...kweli hili? Au ndiyo tunaisemea Serikali kwa Mh. Tundu Lissu akichukua ngoma ndiye aje kuunda? Tusahau tu matusi, kejeli, mibezo, dharau n.k kwa Watanzania?


Je haya ya tume huru ndiyo yatakayofuata baada ya Kesi tarajiwa ya mwaka 2023 kuelekea pasipo kuelekea? Kwamba Serikali ya sasa haitaweza kusimama na mitetemeko, na misukosuko ambayo yata ambatana na kesi kama hiyo?

Je, kwa sababu mbalimbali, iwe za kibinafsi, kisheria, kikatiba ,kisiasa, au za kiusalama au kuna sababu zingine za uwongo, ukweli za uhasama hasi, nongwa n.k zinatarajiwa kuzimwa kimahesabu na Tume kama hii inayopendekezwa??

Tunajua yaliyojiri Afrika Kusini. Kuna wale ambao wanaamini hakuna reconciliation chanya, kwamba kwa utu wa Mwafrika, pale walikosea na Reconciliation yaani ingekuwa truth na Jela tu, kuna ambao kwenye ku reconcile walinyimwa haki?

Najaribu kutengeneza nadhari

Kitaeleweka
 
Back
Top Bottom