Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mh!Batter trade twiga 5 kwa hardtop moja
Hii biashara mhh!Batter trade twiga 5 kwa hardtop moja
Jinai haina mwishoNdio maana nchi inahitaji katiba mpya itakayotupa taasisi imara na zenye kujitegemea, issue kama hii una uwezo wa kufungua docket police au kuwapa watch dog ili waichunguze, police wanakunyima haki yako au kukuonea unaenda kwa IPID unafungua mashitaka (hawa ni kama MPs wa jeshi na wana uwezo wa to arrest a member of police na kumfungulia mashitaka mahakamani)kwa sasa tuendelee kulalama humu JF
Wewe malizia ugali dagaa ukalaleMsemaji wa Serikali anabwabwaja tu.
Mara anasema madege ya warabu yanaleta watalii.
Mara tunasikia madege ya warabu yanaleta makontena.
Sasa mtalii anakuja na makontena ya nini?
Nchi inauzwa kwa waarabu.
Tufanyeje? Hao wajomba zetu tu tuache fitina.Msemaji wa Serikali anabwabwaja tu.
Mara anasema madege ya warabu yanaleta watalii.
Mara tunasikia madege ya warabu yanaleta makontena.
Sasa mtalii anakuja na makontena ya nini?
Nchi inauzwa kwa waarabu.
Tusubirie mikutano ya siasa tutasikia mengi...21/1/2023 sio mbaliNani Ataruhusu Tume
Unajua Ukweli Upo Bayana Tatizo Ni Hawa Hawa Ni Ile Ile
Kama Ni Biashara Iwekwe Bayana
Hamna cha barter trade wala nini, mkataba uliingiwa mwaka 1992 kati ya Waarabu na serikali ya Mwinyi ..ili kusaidia vifaa vya kijeshi kwa taifa[emoji23] mengine hata siyajui[emoji23]Batter trade twiga 5 kwa hardtop moja
Hauna timeframe?Hamna cha barter trade wala nini, mkataba uliingiwa mwaka 1992 kati ya Waarabu na serikali ya Mwinyi ..ili kusaidia vifaa vya kijeshi kwa taifa[emoji23] mengine hata siyajui[emoji23]
Nchi hii ni ya watanzania wote!Tufanyeje? Hao wajomba zetu tu tuache fitina.
Mama kasema kula urefu wa kamba zako